simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua nyuma ya pazia inayohusisha muuaji wa Salenda

    Habari wadau..! Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia . Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani. Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya kwanza nilikua naonekana mnyonge sana, hasa kutokana na ugeni wangu na kila mmoja ndani ya darasa...
  3. Glory Tausi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Aisha

    AISHA Aisha anajitizama kwa chati kwenye kioo kidogo kilichoko chumbani kwake, anashusha pumzi hafifu kwa anachokiona mbele yake. "Kweli nimechunda Aisha mimi," Anakiri kimyakimya. Tayari uso ulikuwa umekomaa mithili yaajuza aliyemaliza miongo kadhaa ilhali umri wake ni miaka 24 tu. Binti...
  4. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mpaka Kieleweke

    Simulizi: MPAKA KIELEWEKE Mwandishi: NIRA SAIRE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu yangu huku nikiongea na mke wangu ambaye alikuwa nyuma yangu akinisemesha hili na lile. Mara...
  5. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania SoC01 Historia ya Mzee Kamachi inatupa funzo

    Nianzie mkoani Kigoma Mzee Kamachi ni Muha mzaliwa wa Kigoma Mjini Gungu Kamachi alizaliwa miaka ya 1960 mkoani kigoma alikuwa mtoto wa kwanza kwenye familia ya Saidy Kumachi Mzee Saidy alimzaa Kumachi baada ya kumpa mimba mama yake Kumachi wakati huo akiwa bado mwanafunzi jambo lililopelekea...
  6. L

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Wakati mwingine kuna vitu vinafikirisha sana katika kuishi kwetu

    Katika kuishi kuna wakati binadamu anaona vitu mpaka anashangaa. Sasa leo nmeamua kushare tukio ambalo kimsingi lilinitia huzuni sana na stasahau. Kwa ufupi lilikuwa hivi; kulikuwa na dada mmoja jina lake X alikuwa ni mke wa jamaa jina lake Y wote wenyeji wa Mbeya. Mke akapangwa kikazi mkoa wa...
  7. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Elizabeth Neville

    Simulizi : ELIZABETH NEVILLE Mwandishi : HALFANY SUDY Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni asubuhi na mapema ndani ya mji wa Mafinga uliopo mkoani Iringa, Tanzania. Baridi likiwa kali sana. Watu walikuwa wanatembea mitaani huku wakiwa wamevaa makoti makubwa kupambana na baridi hiyo...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Habari wanabodi, Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu mjadala ulioleta hasira toka kwa wapiga kura. Nimekutana na kasimulizi toka kwa Hilda Newton juu ya...
  9. Zaburi 23

    JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi...
  10. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na mtu niliyedhani ni mhitaji kumbe ni tapeli

    Habari ndugu wapendwa na natumaini sote tu wazima wa afya na walio na mitihani ya maradhi au changamoto mbali mbali Mungu awapiganie ili sote tuishi kwa raha na kukiri utukufu wa Mungu. Nimeamua kuileta habari hii ambayo ilinitokea mimi mwenyewe ili iwe kama funzo kwa wengine wenye mioyo ya...
  11. Heisenberg

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya mchawi mmoja toka huko Kilombero - Morogoro

    Dunia ina mambo Mengi sana na mengine usiyoyajua Nikiwa Maeneo hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau. Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha. Wakati anaendelea na hararakati...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Mwinyi vita ya ‘Magabachori’

    Simulizi ya Mwinyi vita ya ‘Magabachori’ Summary Katika mfululizo wa simulizi za kitabu cha ‘Mzee Rukhsa; Safari ya Maisha yangu’ Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameendelea kuibua mambo yaliyomsumbua wakati wa utawala wake, likiwemo la mvutano wa wafanyabiashara nchini. Dar...
  13. The Garang

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

    Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Chanjo, teknolojia ya kiafrika na simulizi ya Onesimus, mtumwa wa Kiafrika aliyeiokoa dunia

    Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote. Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko...
  15. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
  16. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: C.O.D.EX.

    Simulizi : C.O.D.EX. 1 Mwandishi : TARIQ HAJI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1 Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu sana duniani Los Angels maarufu kama LA. Kama kawaida mapema vijana tunaingia kazini kutafuta mapeni...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Chozi la furaha

    SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
  18. Cute_Emmy

    JamiiForums Tanzania Zijue tovuti za kusoma Simulizi na Chombezo

    Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama 1. Jamiiforums Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu chagua jukwaa la Entertainment Katika jukwaa hili utaweza kusoma simulizi na chombezo mbalimbali bure...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha. Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
  20. aleesha

    JamiiForums Tanzania Simulizi za Othman Masoud

    Yaliyojiri ndani ya Bunge la Katiba na kulichopelekea kufukuzwa kwake. Alichomwambia Dr. Shein baada ya kupora Ushindi wa Maalim Seif. Maisha yake nje ya harakati. Ukaribu wake na watu. Anavyowajali Wazanzibari. Simulizi hii ni sehemu ya pili ya muendelezo wa simulizi za Othman Masoud...
Back
Top Bottom