Simulizi kuhusu maana ya kuishi

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Hiki ni kisa cha mtu aliyechelewa safarini. Alipofika kwenye stesheni ya treni alipanda treni ya kwanza kuwasili mbele yake. Na kwa sababu ya uchovu alisinzia kwa muda na kisha baadae kuamka.



Alishangazwa kuona treni ikiendelea kwenda kwa kasi pasipo kujua uelekeo wake. Alianza kuuliza kila mmoja kuhusu uelekeo wa treni, akilaumu na kupiga kelele.

Kadri alivyozidi kusumbua ndivyo abiria wengine walizidi kuampuuzia hadi mzee mmoja mwenye busara alipomjulisha kuwa treni hiyo inauelekeo mmoja tu.

Kwenye maisha destiny yetu ni kifo hivyo tumia huu muda ulionao ndani ya treni kuishi maisha yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom