simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli ya maisha yangu

    Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu. SEHEMU YA KWANZA Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu chumba kimoja hadi nilipoanza darasa la kwanza hapo ndipo uhalisia ukauzidi nguvu ukimya wa kuzuga...
  2. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Tutarudi Na Roho Zetu?

    Simulizi : TUTARUDI NA ROHO ZETU? Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KAMA maji ya bahari ya hindi yangekuwa na hisia, basi yangejisiskia fahari sana kwa kupata fursa nyingine ya kuiburudisha miili ya viumbe hawa wawili ambao walikuwa wakiogelea kandokando ya...
  3. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Noti Bandia

    Simulizi : NOTI BANDIA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na : BURE SERIES SEHEMU YA 1 JIJI la Dar es Salaam linatingishika, wezi sugu wanaingiza noti bandia, watu wanaibiwa. Baadhi wanauza majumba, magari na viwanja. Wafanyabiashara hatari wa dawa za kulevya nao wanacharuka, wanatangaza...
  4. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Safari Ndefu Kuelekea Kaburini

    Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI Mwandishi : NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado akiwa amesimama nje ya gari hilo huku akimsubiri msichana mrembo, Patricia Thomson aweze kutoka ndani...
  5. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Kiguu Na Njia

    Simulizi : KIGUU NA NJIA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 likuwa mara yangu ya kwanza kumuona baba akitokwa na machozi. Kwa kweli, ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona mwanamume yeyote mwenye umri wa baba akilia, iwe sirini au hadharani. Kitendo cha...
  6. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Salamu Kutoka Kuzimu

    Simulizi : SALAMU KUTOKA KUZIMU Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana mdhaha. Lakini sasa huyu anataka watu mashuhuri, watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima...
  7. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Mikononi Mwa Nunda

    Simulizi : MIKONONI MWA NUNDA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 UKEKE Maulana alikuwa mzee ambaye siku zote alipingana na uzee, mzee ambaye hakukubali uzee umtawale hata mara moja. Alikuwa vitani akiupinga na kuudhihaki hadi uzee ukaelekea kumpigia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    NOTEBOOK: SEHEMU YA KWANZA Mshale wa saa ulisimama kwenye 4 na dakika zake ,Carry alikuwa akijigeuza upande wa pil ili alale vizuri Ila mwanga wa jua ulionekana kumkera pindi ulipomchoma usoni, Carry alifumbua macho yake kwa tabu sana na kwa hasira juu ya mwanga ule alianza kujinyoosha taratibu...
  9. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Ajira Toka Kuzimu

    Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole kimoja. Ilikuwa ina rangi ya bluu hii ndio ilikuwa nchi kubwa aliyokuwa ameagizwa kumfanyia kazi yake...
  10. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jamani Mchungaji

    Simulizi: JAMANI MCHUNGAJI !! Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Masikio yake hayakuamini anachokisikia lakini ubongo wake uliamini kuwa mkewe alikuwa kwenye ndoto nzito sana, jasho lilikuwa linamtoka na alikuwa anajiviringisha pale kitandani kwa staili...
  11. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Ukweli Wenye Kuuma (Painful Truth)

    Simulizi: UKWELI WENYE KUUMA ( PAINFUL TRUTH ) Mwandishi: NYEMO CHILONGANI Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Msichana Happy alikuwa akilalamikia uchungu ambao ulikuwa umemshika katika kipindi ambacho alikuwa shambani akilima. Damu zikaanza kumtoka katika sehemu zake za siri...
  12. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Akwelina

    Simulizi: AKWELINA Mwandishi: RUVULY DE FINISHER Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 YA 50 """ Mke wangu unajua hii inchi yetu ina mambo mengi mno ambayo tukiyaangalia kwa macho tunaona ya kawaida sana lakini kwa mwenye akili na mwenye mtazamo wa kufikiria mbali lazima atatambua kwamba...
  13. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Beyond Love (Zaidi Ya Mapenzi)

    Simulizi: BEYOND LOVE (ZAIDI YA MAPENZI) Mwandishi: 2JIACHIE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 YA 50 Tom aliheshimika na kutisha, hakuna mtu aliyechezea shughuli zake kutokana na uhusiano mzuri aliokuwa nao na viongozi Serikalini, akiwa mdhamini wa Chama Tawala. Hakuna mtu ambaye...
  14. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Asante kwa Kunifuta Machozi (Hisia Zangu)

    Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU) Mwandishi: JOSEPH SHALUWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES ***** SEHEMU YA 1 KATI YA 50 Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua kitakachotokea. Utaniudhi sasa...” akasema Lilian kwa sauti ambayo haikueleweka ilikuwa ya ukali au kudeka...
  15. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Hiliki Ya Chumbageni

    HILIKI YA CHUMBAGENI MWANDISHI: JOSEPH SHALUWA “BABY umeamkaje?” “Honey mzima?” “Mpenzi wangu umeshatoka hotelini?” “Laazizi wangu, jamani nakutumia text zote hizo na hujibu kitu, kuna nini?” “Bravo unajua ulivyonizoesha mume wangu, mbona unanifanyia ukatili mkubwa namna hii?” “Baba yangu...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Simulizi la Bibi, maisha ya Da es Salaam ya Tanganyika

    Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
  17. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwisho - Simulizi

    SEHEMU YA KWANZA Kanisa lilibaki na mshtuko mkubwa waumini nao hawakuamini tukio waliloliona mbele ya macho yao. Padri alibaki akiwa amezubaa hakujua nini kinaendelea kanisani hapo pindi Laurance alipo kataa kumvisha pete Nasra kwa sababu ya barua aliyoikuta ndani ya koti lake la suti pasipo...
  18. Abubakari M N

    JamiiForums Tanzania Kinukamito na Chanikiwiti

    ONYO Hairuhusiwi chini ya miaka 20 UTANGULIZI Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika...
  19. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Simulizi kutoka St. Petersburg hadi nimepatamani Urusi

    Mzuka wanaJF Kuna jamaa tulikutana naye kwenye mechi ya mpira ni mcameroun amekaa St. Petersburg toka 2005. Tumejenga urafiki na kunipa story za Urusi. Ananisimulia St. Petersburg ukilinganisha na Copenhagen, Stockholm Oslo na Helsinki kwa pamoja haya majiji ni kama playing ground. Jiji ni...
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania Simulizi; Bahari ya Hindi

    Simulizi : Bahari Ya Hindi Sehemu Ya Kwanza (1) Ilionekana gari moja aina ya Mark II (old model) ya kizamani,ikipaki nje ya geti la kuingilia bandarini….wakashuka watu wawili,,Mwanaume mmoja na mwanamke mmoja,,watu hao walikuwa wanafanya kazi sehemu moja,katika kituo cha Habari,,,yule mwanaume...
Back
Top Bottom