simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za Waungwana: Kuku anayeatamia mayai ya mamba hujitafutia matatizo

    YAI Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi. Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni msimuliaji gani kwenye online media ambaye yuko vizuri kwenye simulizi za Kijasusi na Intelijinsia??

    Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
  3. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

    ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu. Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
  4. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Aliyekubeba ndo anayejua uzito wako

    UZITO Licha ya changamoto zilizowakabili, wazazi wa Chuwa walifanya kila wawezalo ili kesho ya chuwa si tu iwe kesho nzuri bali kesho yenye fursa angavu na furaha ya kudumu. Miaka kadhaa mbele juhudi zao zikazaa matunda. Chuwa akahitimu masomo na kupata kazi nzuri. Baada ya kupata kazi,Chuwa...
  5. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu katika Vita

    Khalid bin Walid: Simulizi ya Shujaa wa Kiislamu Khalid bin Walid, anayejulikana pia kama "Saifullah" (Upanga wa Allah), alikuwa mmoja wa makamanda maarufu wa kijeshi katika historia ya Uislamu. Alikuwa na mchango mkubwa katika upanuzi wa Dola la Kiislamu wakati wa maisha ya Mtume Muhammad (SAW)...
  7. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Nzi hasiyefuata ushauri, huifuata maiti mpaka kaburini

    NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho, rejesho hilo lilikuwa ni kumsainisha Chuwa mikataba mibovu ili wabebe mali za kijiji. Kadri mali za...
  8. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Kwa asiyejua kusoma,nukta kwake haina maana

    Nukta. Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe. Siku moja,Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha. Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake. Wakati mkewe anaondoka,macho ya Chuwa...
  9. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    ASALI HAITIWI KIDOLE SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: EDGAR MBOGO WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247. TAHADHARI: Hadithi hii ya #ASALI_HAITIWI_KIDOLE inayo somwa na mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, ni hadithi yenye kisa chenye ubunifu kwa hasilimia mia moja, sehemu, mitaa na majina...
  10. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Lucia Bakande

    Sehenu ya 1. Kwa jina naitwa Lucia Bakande, ni binti wa baba msukuma na mama mnyarwanda, mtu anaponichimba kutaka kujua kabila huwa nashindwa nitaje ni kabila gani maana sijui kuongea kisukuma wala kinyarwanda, nilizaliwa na kukulia Dar pahali ambapo wazazi walikuja miaka mingi iliyopita...
  11. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Simba wa Mali: Simulizi ya Sundiata Kieta

    Katika karne ya 13, katika ardhi yenye rutuba ya Afrika Magharibi, kulikuwa na ufalme mdogo uitwao Kangaba. Ufalme huu ulikuwa chini ya utawala wa mfalme mwenye hekima na upendo, Maghan Kon Fatta. Alikuwa na wake wengi, lakini mmoja wa wake zake, Sogolon Kédjou, alikuwa na umuhimu maalum...
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemuua Komando Muhammad Tamimu🤔? (Sehemu ya 3️⃣)

    "Kuepusha kuwachosha wasomaji, Swali pekee linalobakia katika mkasa huu ni Je, ni hatua gani za kisheria zilichukuliwa baina ya wahusika?. Jibu la swali hili tutakua nalo katika sehemu ya tatu ya mkasa huu. Kama ni embe, basi hapa tumefika kwenye kokwa, ndo kwanza utamu wa simulizi hii unaenda...
  13. Sam GM

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi. Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika wimbo wa Mbaraka Mwinshehe kuwa alikuwa mwanamapinduzi. Je, kuna yeyote anaweza kutupatia taarifa...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
  15. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Seven days in hell! (siku saba kuzimu)-1

    SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU) Episode-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea kunitoka lakini maumivu makali yalinirudisha chini. Kwa kutumia...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Lake Energies yadaiwa kudhulumu malipo ya kazi ya Simulizi na Sauti ya Skywalker

    Mtangazaji mkongwe ambaye ni mmiliki wa Platforms za Simulizi na Sauti ameituhumu kampuni ya Nishati ya Lake Energies (zamani lake oil) kuwa imemdhulumu malipo ya kazi aliyoifanyia kampuni hiyo na kila anapojaribu kufuatilia amekuwa akizungushwa. Kitendo hicho kimefanya afikie hatua ya kuweka...
  17. singanojr

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience inayopatikana Kibaha , kilomita kadhaa kutoka ilipo hospitali ya Tumbi. Ilikuwa ni hospitali kubwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Simulizi mtoto wa miaka 10 alivyobakwa na jirani

    Tarime. Ni unyama, ndiyo unavyoweza kutafsiri alichofanyiwa mtoto mwenye miaka 10, mwanafunzi wa darasa la saba. Amebakwa mara nne kwa nyakati tofauti na jirani yao, mwanamume mwenye miaka 40. Mwanafunzi huyo, mkazi wa Kijiji cha Sanganga, Kata ya Pemba wilayani Tarime, anadaiwa kutendewa...
  19. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Operesheni Mauaji(1970) na Habiba Shaban

    Miaka ya 1970, kulitokea wimbi la mauaji ya waganga wa kienyeji mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Wengi wa washukiwa waliachiwa huru baada ya kufikishwa mahakamani. Ndipo, Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa hiyo chini ya Uenyekiti wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, waliagiza wote walioshukiwa na...
  20. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Palestina Huru kutoka Mto hadi Bahari

    Mnamo Desemba 1973, rais wa Misri Sadat alitambua kwamba Waarabu hawawezi kamwe kuishinda Israeli kijeshi (baada ya mafanikio yao katika vita vya 1973 ambavyo kugeuka). Saudi Arabia pia ilielewa kuwa haiwezi kugeuza mkono wa Magharibi kiuchumi kupitia kususia mafuta, ambayo ilimalizika Machi...
Back
Top Bottom