Simulizi fupi kuhusu mafanikio

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Hiki ni kisa cha marafiki wawili ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii lakini mmoja wao tu ndiye aliyepandishwa cheo.

Yule mwingine aliona kama hakutendewa haki hivyo alienda kulalamika kwa boss wake kwamba hawajali wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwa bidii.

Boss wao aliwapa task ambayo ilimfanya yule aliyelalamika agundue kitu ambacho kilimfanya mwenzake apandishwe cheo na yeye asipandishwe

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom