Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
169
195
Poleni na mapambano ya kila siku, naomba mapendekezo ya simu nzuri ya smart ninayoweza kununua kwa budget ya 150,000/=
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
408
500
Ukitaka simu ya nzuri kabisa kwa bei hiyo ni bora ungalie used phones.

Simu mpya kwa bei hiyo utapata tecno na infinix za ajabu

Kwa hela hyo used unapata Tecno Camon X, Infinix Note 5, iPhone 5s au 6(ukibahatisha), Infinix Hot 8, Samsung J6, Samsung A10.
Hzo ndo zilizokuja kwenye akili yangu haraka haraka. Ingia kupatana alaf sort kwa bei uingize bei yako then utaona.

Mm natumiaga Kupatana na Jiji.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,789
2,000
angalia used,uikague kwa utulivu hutajuta.

ila ukijifanya hutumiagi za mkononi jiandae kulamba boko la 1gb ram.
 
senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
169
195
Ukitaka simu ya nzuri kabisa kwa bei hiyo ni bora ungalie used phones.

Simu mpya kwa bei hiyo utapata tecno na infinix za ajabu

Kwa hela hyo used unapata Tecno Camon X, Infinix Note 5, iPhone 5s au 6(ukibahatisha), Infinix Hot 8, Samsung J6, Samsung A10.
Hzo ndo zilizokuja kwenye akili yangu haraka haraka. Ingia kupatana alaf sort kwa bei uingize bei yako then utaona.

Mm natumiaga Kupatana na Jiji.
Aksante kwa ushauri
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500
Nokia C2, japo sijajua upatikanaji wake upo vipi. Hata kama unakosa hio angalia simu yenye
1. Android Go na sio version ya kawaida ya Android, Go ipo optimised kwa ram 1gb kushuka.
2. Angalau processor ya Cortex A53, kuna simu nyingi za Cortex A7 kwenye hii category.
CHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd ,
Ila gpu ni nvidea gtx 1050ti mkuu unasemaje
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
408
500
CHIEF mimi ni yule mdau wa ile thread ya wapi ntapata graphic card gani nzuri kwa pc mkuu nimetafuta sana gpu ila nimepata madyka mengi ni waswwhili tu nimeamua kuchukua gaming laptop hp pavilion gaming15 ina core !7 7700hq na ram 8gbddr4 na tb 1 sata,125ssd ,
Ila gpu ni nvidea gtx 1050ti mkuu unasemaje
1050ti iko poa sana kwa laptop
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,772

Sio mbaya ila kama utapata i5 gen ya 8 kama 8400HQ ni nzuri zaidi kuliko i7 gen ya 7, kama unakosa hata hio i7 sio mbaya. Hio machine itacheza games zote ambazo zipo sokoni kwa sasa.
 
meck pro

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
388
500
Sio mbaya ila kama utapata i5 gen ya 8 kama 8400HQ ni nzuri zaidi kuliko i7 gen ya 7, kama unakosa hata hio i7 sio mbaya. Hio machine itacheza games zote ambazo zipo sokoni kwa sasa.
mkuu pc hiyo inaweza patikana kwa bei gan?
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500
1.5m angalau kwa mpya, tena hapa uvizie deals mbalimbali, kwa used chini ya hapo.

kama budget ndogo tafuta ryzen zina gpu nzuri kwenye laptop
Ivi mkuu ryzen gpu zake zinaweza patkana kweli bongo zenye uwezo mkubwa kuliko iyo mashine
Afu pia mi nimenunua kwa 1.8m napenda kujua kwa nini cpu za ryzen hua zina heat sana kwenye mashine naona hata madukani hawarecomend otherwise user proposal
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,772
2,000
Ivi mkuu ryzen gpu zake zinaweza patkana kweli bongo zenye uwezo mkubwa kuliko iyo mashine
Afu pia mi nimenunua kwa 1.8m napenda kujua kwa nini cpu za ryzen hua zina heat sana kwenye mashine naona hata madukani hawarecomend otherwise user proposal
Ryzen gpu ya ndani haifikii hio 1050ti ndio maana nikarecomend kwa budget ndogo.

Ryzen haziheat mkuu labda kama unaongelea Amd za zamani ama laptop mbovu. Maana nyingi clocks zake ni ndogo na zinatumia manufacturing process za kisasa
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,240
2,000
Ukitaka simu ya nzuri kabisa kwa bei hiyo ni bora ungalie used phones.

Simu mpya kwa bei hiyo utapata tecno na infinix za ajabu

Kwa hela hyo used unapata Tecno Camon X, Infinix Note 5, iPhone 5s au 6(ukibahatisha), Infinix Hot 8, Samsung J6, Samsung A10.
Hzo ndo zilizokuja kwenye akili yangu haraka haraka. Ingia kupatana alaf sort kwa bei uingize bei yako then utaona.

Mm natumiaga Kupatana na Jiji.
Jibu zuri...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom