Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu.
Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
Kampuni ya Israel inayoitwa NSO Group, iliunda program inayojulikana kama Pegasus (Zero Click). Hii software kwa madai ya kampuni hiyo hawauzi kwa watu binafsi ila ni kwa ajili ya serikali za nchi mbalimbali na ni kwa pesa ndefu na inakuwa na limitation ya muda lets say miezi sita ukitaka...
Wakuu nauliza na pia nataka kujua kama kuna simu inayo-operate au kufanya kazi kama kompyuta inavyofanya kazi,
Hapa nazungumzia jinsi upangaji wa mafaili unavyofanyika katika kompyuta na je simu pia inaweza kufanya kama vile kompyuta inafanya
Na pia jinsi kompyuta inavyofanya kazi kama multi...
Habari za Jumamosi ya leo waungwana,
Tafadhali, kwa mwenye kufahamu hatua za kufuata ikiwa unataka kuipata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI# naomba anifahamishe.
Hii ni baada ya kutoa taarifa Polisi.
Wakuu, habari za Asubuhi
Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea.
Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari naona kama inaondoa muonekano mzuri wa simu.
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM
Natanguliza shukrani.
Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu za Kichina maana naona wasambazaji naochukua kwao hapa nchini awaishiwi visababu na kupandisha bei...
Wakuu habarini za jioni.
Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao ya Tanzania hazisomi isipokuwa kwa emergency calls tu, hivyo naombeni msaada kwa hilo wakuu...
Mimi ni mfatiliaji mzuri wa Kipindi cha Mhe. Polepole chenye jina la Papo kwa Papo!
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Viongozi kutokupatikana kwenye simu! Na hii ndio picha iliyopo kwenye Jamii!
Viongozi wengi wa Serikali, RC, RAS, DC, Mawaziri, Wabunge, Makatibu Wakuu, nk wamekuwa na tabia ya...
Kuna mambo mengi ambayo tunayaona mitaani mpaka wengine tunashangaa.
Mtu anapigiwa simu anatazama jina anapokea kisha huigeuza na kuanza mazungumzo. Watu wanajifanya kujua kuliko aliyetengeneza simu.
Huu ujuaji ungeambatana na uvumbuzi wa simu mpya ingependeza zaidi. Mtu hata kuunda batteries...
Rais wa Marekani, Donald Trump alimshinikiza Katibu Mkuu wa jimbo la Georgia kwa chama cha Republic, Brad Raffensperger kutafuta idadi ya kura za kutosha kubadilisha matokeo ya jimbo hilo akimtishia kuweza kutenda 'kosa la jinai' katika mazungumzo ya simu yaliyodumu kwa muda wa saa moja, gazeti...
Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua.
Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu.
Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
Haiwezekani naacha Kuungana na Binadamu Wenzangu wote duniani Kusheherekea mwaka huu mpya wa 2021 badala yake naupokea huku nikiwa na Hasira na Uhuni kama siyo Utapeli tunaofanyiwa na Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hapa binafsi nauongelea sana huu wangu wa Morocco Smartphone Network...
Wanawake bwana huwa ni viumbe wa aina yake kama mambo yao yalivyo tu.
Unaweza mkuta katulia zake ukafikiri kuna jambo moja serious Sana analifanya kumbe,
Ataperuze picha kulingana na tukio lililoko mbele yake au analolitamani litokee,
1. Kama ni mja mzito ;
Atakua anaangalia vinguo vya...
Kama unatafuta mafundi wa garden/bustani nzuri na zakuvutia kwaajili ya majumbani,maofisini,shuleni,hotelini n.k tutafute kwa namba za simu 0687239674,0717580898 WhatsApp/calls popote tunafika Tz kwa Sasa tupo Dar es salaam..na Bei zetu ni nafuu.
Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na kukatwa kwa nyaya za mawasiliano zinazoiunganisha na minara mingine.
Katika moja ya video...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.
Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA...
Programu tumishi ya mawasiliano ya Whatsapp haitafanya kazi katika baadhi ya simu kuanzia mwaka 2021, baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti.
Programu hiyo haitafanya kazi katika simu za Android zinazotumia toleo la 4.0.2 au ndogo zaidi ya hiyo, na kwa simu za iPhone zinazotumia toleo la 9 (iOS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.