Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika) zinazochukua nafasi kubwa katika simu yako. Zana hii itashuhudiwa kwa watumiaji wa WhatsApp duniani kote...
Wakuu habari.
Natoa ombi maalum kwa makampuni ya simu yote nchini ambayo yalikata au yalisitisha upatikanaji wa internet kwa baadhi ya social media Kama Whatsapp , Instagram, Twitter , Facebook and so on.
Siku ili mliyotindiganya mambo watu tulikuwa tumejiunga na mabundle ya internet, wengine...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Je, upi ni uamuzi mzuri na sahihi kati ya kuizima simu usiku au kuiacha ikiwa inawaka? Kupata taarifa mbaya (msiba) Vs Kupewa ujumbe mwema (Uvamizi)?
Kuna siku moja mwaka juzi rafiki zangu waliwahi...
Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources.
The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
Makampuni ya mawasiliano nchini yamezima data takriban wiki moja sasa. Wakati yakizima, hayakuwatangazia wateja juu ya uzimaji huo, na hivyo wateja wengi wakajikuta vifurushi walivyokuwa wameweka kwenda bure!
Lakini pia, kwa wale ambao hawakujua kuwa kuna kuzimwa kwa makusudi kwa mtandao...
Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia.
Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21.
Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi,
Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.
Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...
Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta?
Meseji?
Xvideo?
Picha?
Namba za simu?
Social networks?
Betting apps?
Au...
Habari zenu wadau.
Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu.
Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
Tuna makampuni ya simu mengi hapa Tanzania. Kwa bahati mbaya, karibu yote ni ya kigeni baada yale ya wazawa kufilisika.
Kuanzia 30-07-2020 Mkampuni haya ya simu yameanza kidogo kidogo kupandisha gharama za vifurushi, wanapandisha alafu wansikilizia kama wanyonge watashtuka, sasa wamefika mahali...
Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam.
Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
Wananchi tumekuwa tukilalamika sana kuhusiana na wizi unaofanywa na mitandano ya simu. Mmeziba masikio yenu kwa Vigondo. Hamsikii.Na macho yenu mmeyavalisha miwani ya Mbao. Hamuoni.
Airtel kwanza wana utaratibu ambao mimi nmeshindwa uelewa.napotaka kuangalia data bundle iliyobaki sipewi majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.