guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
Nina shida ya hiyo hapo juu ya njano yenye internal 128gb!
Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?
Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?
Ni shakujib sio njano ilikua blueMkuu Ni Ya Njano?
Upo Wapi Sasa Hv?
Nenda K. Koo zipo nyingi tu.Nina shida ya hiyo hapo juu ya njano yenye internal 128gb!
Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?