Simu na aina zote za komputa zina athari gani kiafya?

Pongo Pongo

JF-Expert Member
Jan 15, 2021
473
585
Habari za wakati huu. Samahanini kwa usumbufu wapendwa.

Leo nahitaji kufahamu athari za kulala karibu na simu wakati wa usiku. Mara kadhaa nimekuwa nikijisahau na kulala na simu karibu yangu, haya yafuatayo yamekuwa yakiniumiza kila ninapoamka. Kwa nini unapoamka asubuhi unajisikia kuchoka sana kuliko kawaida; Kwanini unakuwa msahaulifu zaidi, na mengine mengi yanakuwa mzigo zaidi kwa wakati huo.

Wenye taaluma ya afya tafadhari nahitaji msaada wenu pia itakuwa elimu nzuri kwa jamii inayofatilia mtandao huu.

Nasubiri mrejesho wako mdau wa JF.
 
Back
Top Bottom