Kama ni hivyo, susieni na Simu na Dreamliner maana huwezi jua wameweka nini!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,004
Hatuna imani na wazungu! Ni wauaji inavyoelekea. Basi kama ni hivyo tususie kila kitu.

1. Hizi simu almost 90%(stand to be corrected) watanzania tunazitumia. Si ajabu wameweka mionzi ya kuua brain after some yrs wote tunakuwa na kansa ya ubongo

2. Mandege yao yanawezekana yamewekwa mionzi. Viongozi wetu wanaozisafiria kwa wingi wataambukiza kansa

3. Namalizia, tena ARVs .... na chanjo zote za watoto wengi tunazitumia au wapendwa wetu , tuzisusie
 
Anza wewe kuacha kutumia hata hako la simu kako, kwanaza , asilimia kubwa ya watanzani hawatumii simu za huko unakotaka wenginwanatumia kutoka asia kwa wachina na nduguze
 
Hata viatu vya mjumbe wa nyumba kumi havimtoshi huyu Mkuu.

thumbnail_Drc5daOX0AEc4RK.jpg


JPM viatu alivyovaa sio size yake.
 
hatuna imani na wazungu! Ni wauaji inavyoelekea. Basi kama ni hivyo tususie kila kitu.
1. Hizi simu almost 90%(stand to be corrected) watanzania tunazitumia. Si ajabu wameweka mionzi ya kuua brain after some yrs wote tunakuwa na kansa ya ubongo
2. Mandege yao yanawezekana yamewekwa mionzi. Viongozi wetu wanaozisafiria kwa wingi wataambukiza kansa
3. Namalizia, tena ARVs .... na chanjo zote za watoto wengi tunazitumia au wapendwa wetu , tuzisusie
Kama hivyo tungeweka juhudi kuwa kama urusi,korea,Irani na nchi nyingine zinazoaekeza katika sayansi na technologia ilikuacha utegemezi kwa wengine.
 
Linalonisikitisha, huyu bwana labda anadhania analolisema linaishia huko huko Geita.

Kwa maana nyingine dunia kwake ni hapo alipo. Hajui kila asemalo linarekodiwa na kufasiriwa na Balozi chungu nzima zilizopo nchini mwake.

Akizidi kuwaponda hivi, watamshughulikia kweli!
 
Hapo Zamani za Kale kulikuwa na Mtu Mwenye Cheo cha Ayatollah Nadhani wenyeji wa Jamii forums Watakuwa Wanamfahamu zaidi Huyo Ayatollah. Alikuwa akikaa tu anaanzisha Ugomvi na Mtu Yeyote!

Siku Moja alikaa Chini Akakuta Watu wawili Wanapigana Myahudi na Mpalestina basi akatizama lile pambano huku akichagua upande wake wa Ushindi uangukie kwa Mpalestina pia akawa anampa siri Mpalestina awe anapiga sana ngumi za Kushtukiza Myahudi. Basi Myahudi alivyoona Mpalestina kapata kocha ghafla kaka yake wa Kambo Muingereza katika pita pita zake akaukuta huo ugomvi ndipo Myahudi akamuomba Brother wake Muingereza amuambie Ankal wake Mmarekani kuwa Amepata adui anamchokoza na ana kocha mzuri yule mwenye sifa ya kupindua na aliyempiga baba yake akatawala mali zote za Ghuba ya Ajemi.

Mjomba kusikia alikuja faster akampa ujuzi mwingi Myahudi.. Ngumi basi zikapigwa na Mara Ghafla Mpalestina akachemka akanyoosha Mikono Juu huku mchuzi wa damu ukimiminika kutokea mdomoni Masikini kumbe ngumi moja kali aliyopigwa ilmpata barah-barah Meno matano ya mbele yametoka akawa kibogoyo hadi leo hii...

Ayatollah alikasirika sana akatoa Tangazo kwa Jamii yake na Majirani wake Pamoja na Majirani wa Myahudi kuwa Myahudi ni Hatari kwake hadi Majirani zake hivyo wamtenge kabisa la sivyo atawafitinisha wao kwa Wao pia hakuishia hapo akatoa Tangazo lingine kali zaidi kuwa Chochote anachotengeneza na Kuuza kwenye Duka la Myahudi kisinunuliwe na kama Tayari wameshakinunua basi kitupwe jalalani.

Mara Ghafla Ayatollah akaugua akashikwa na Maumivu Makali sana Madaktari walishindwa kupunguza Maumivu yake.. akakasirika sana akawaambia nini maana yake hii.. Masikini Madakatari wakamuambia Hospital zetu hazina Dawa ya Maumivu Insulin Akawauliza why sababu Nchi yetu ilikuwa na hazina ya Kutosha ya Insulin.. Kwa Masikitiko Madaktari Wakamuambia Ayatollah Zile Insurin zote zimetengenezwa na Myahudi na zinapatikana katika duka la Myahudi pekee pamoja na vifaa muhimu hadi unavyotumia wewe hapo ulipo hadi chumbani mwako vimetokea kwa myahudi na wewe ndio ulipitisha Sheria kitupwe chochote cha Myahudi na wala tusifanye nae Biashara hivyo tunaomba uugue pole jikaze...

Ayatollah Alijikaza ila uzalendo ukamshinda akasema nataka ''DAWA'' kwa herufi kubwa kabisa Ikawaambie Nenda kwa Jirani muambie akakununulie Dawa dukani kwa myahudi ila asijue kama nimewatuma Mimi Ayatollah haya hebu nendeni faster kwanza hamkunielewa vizuri nilisema msinunue kwa myahudi ila kama anayeuza vitu hivyo hivyo ni mtu asiye myahudi basi ni Halal hata kama katengeneza myahudi sawa sawa... akaomba list ya vitu vinavyotengenezwa na Myahudi akaki ameduwaa...

Hii Tabia ya Ayatollah imewaingia wengi ila wanapopatwa na Shida hula Matapishi yao

Hao hao ni Mabeberu hao hao ndio Wanaume hao hao hawana nia njema na sisi hao hao Tunawaomba misaada na kutusamehe madeni yetu, Hao hao tunawaomba Madawa hao hao tunanunua vifaa tiba kutoka kwao.... Sasa ni bora ukubali tu kama Ayatollah...
 
Hapo Zamani za Kale kulikuwa na Mtu Mwenye Cheo cha Ayatollah Nadhani wenyeji wa Jamii forums Watakuwa Wanamfahamu zaidi Huyo Ayatollah Alikuwa akikaa tu anaanzisha Ugomvi na Mtu Yeyote Siku Moja alikaa Chini Akakuta Watu wawili Wanapigana Myahudi na Mpalestina basi akatizama lile pambano huku akichagua upande wake wa Ushindi uangukie kwa Mpalestina pia akawa anampa siri Mpalestina awe anapiga sana ngumi za Kushtukiza Myahudi, Basi Myahudi alivyoona Mpalestina kapata kocha ghafla kaka yake wa Kambo Muingereza katika pita pita zake akaukuta huo ugomvi ndipo Myahudi akamuomba Brother wake Muingereza amuambie Ankal wake Mmarekani kuwa Amepata adui anamchokoza na anakocha mzuri yule mwenye sifa ya kupindua na aliyempiga baba yake akatawala mali zote za Ghuba ya Ajemi Mjomba kusikia alikuja faster akampa ujuzi mwingi Myahudi.. Ngumi basi zikapigwa na Mara Ghafla Mpalestina akachemka akanyoosha Mikono Juu huku mchuzi wa damu ukimiminika kutokea mdomoni Masikini kumbe ngumi moja kali aliyopigwa ilmpata barah-barah Meno matano ya mbele yametoka akawa kibogoyo hadi leo hii...

Ayatollah alikasirika sana akatoa Tangazo kwa Jamii yake na Majirani wake Pamoja na Majirani wa Myahudi kuwa Myahudi ni Hatari kwake hadi Majirani zake hivyo wamtenge kabisa la sivyo atawafitinisha wao kwa Wao pia hakuishia hapo akatoa Tangazo lingine kali zaidi kuwa Chochote anachotengeneza na Kuuza kwenye Duka la Myahudi kisinunuliwe na kama Tayari wameshakinunua basi kitupwe jalalani.

Mara Ghafla Ayatollah akaugua akashikwa na Maumivu Makali sana Madaktari walishindwa kupunguza Maumivu yake.. akakasirika sana akawaambia nini maana yake hii.. Masikini Madakatari wakamuambia Hospital zetu hazina Dawa ya Maumivu Insulin Akawauliza why sababu Nchi yetu ilikuwa na hazina ya Kutosha ya Insulin.. Kwa Masikitiko Madaktari Wakamuambia Ayatollah Zile Insurin zote zimetengenezwa na Myahudi na zinapatikana katika duka la Myahudi pekee pamoja na vifaa muhimu hadi unavyotumia wewe hapo ulipo hadi chumbani mwako vimetokea kwa myahudi na wewe ndio ulipitisha Sheria kitupwe chochote cha Myahudi na wala tusifanye nae Biashara hivyo tunaomba uugue pole jikaze... Ayatollah Alijikaza ila uzalendo ukamshinda akasema nataka ''DAWA'' kwa herufi kubwa kabisa Ikawaambie Nenda kwa Jirani muambie akakununulie Dawa dukani kwa myahudi ila asijue kama nimewatuma Mimi Ayatollah haya hebu nendeni faster kwanza hamkunielewa vizuri nilisema msinunue kwa myahudi ila kama anayeuza vitu hivyo hivyo ni mtu asiye myahudi basi ni Halal hata kama katengeneza myahudi sawa sawa... akaomba list ya vitu vinavyotengenezwa na Myahudi akaki ameduwaa...

Hii Tabia ya Ayatollah imewaingia wengi ila wanapopatwa na Shida hula Matapishi yao

Hao hao ni Mabeberu hao hao ndio Wanaume hao hao hawana nia njema na sisi hao hao Tunawaomba misaada na kutusamehe madeni yetu, Hao hao tunawaomba Madawa hao hao tunanunua vifaa tiba kutoka kwao.... Sasa ni bora ukubali tu kama Ayatollah...
umefunga kazi, asante. Hii korona haimuachi, atatafuta dawa tu huko Israel!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom