Msaada: Simu wangu inashindwa ku-update WhatsApp

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Simu yangu ni Samsung S 8

Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa.

Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana.

Kinachotokea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download inaload tu haiwezi download.

Naomba mnisaidie shida itakuwa nini?

Screenshot_20210219-142229_Google Play Store.jpg
 
Apo kwa screen shoot inaonekana whatsapp ipo pending inamaana kuna file lingine linaingia.
Nenda seting kwenye file la google play store kisha clear catch.
Baada ya apo rudi tena play store kuingiza whatsapp.
 
Si walitangaza android version fulani hazitaweza ku upgrade whatsap
 
Simu yangu ni Samsung S 8

Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa.

Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana.

Kinachotkoea nikiingia kwenye google play naipata app ya WhatsApp lakini niki download ina load tu haiwezi download.

Naomba mnisaidie shida itakuwa nini?

View attachment 1706256
Shikilia icon ya Playstore kwenye homescreen. Chagua option ya App Info. Ukiingia humo chagua Storage and cache option. Clear data then fungua playstore na uendelee kudownload. Kma jamaa hapo alivyosema kwamba kuna app nyingine inajaribu kuupdate or kuinstall, ukifanya hvyo nilivyoelekeza itatoa pending apps zote na utaweza download tena
Screenshot_20210219-143552.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikilia icon ya Playstore kwenye homescreen. Chagua option ya App Info. Ukiingia humo chagua Storage and cache option. Clear data then fungua playstore na uendelee kudownload. Kma jamaa hapo alivyosema kwamba kuna app nyingine inajaribu kuupdate or kuinstall, ukifanya hvyo nilivyoelekeza itatoa pending apps zote na utaweza download tenaView attachment 1706262

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, nimefanikiwa.
 
Apo kwa screen shoot inaonekana whatsapp ipo pending inamaana kuna file lingine linaingia.
Nenda seting kwenye file la google play store kisha clear catch.
Baada ya apo rudi tena play store kuingiza whatsapp.
ubarikiwe mkuu, nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom