Hata wakati zinaingia simu janja (smartphone) tuliaminishana ujinga kwamba ni za mpinga Kristo, zinanyonya damu na kuleta kansa ya vidole

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao!

Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena

Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu!

Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi, mchungaji anamkosoa tabibu; Kamanda ndiye anakusanya kodi n.k We can't move on that way!

Taarifa za afya zilitakiwa kutolewa na mganga mkuu full stop!

Mwenye ujuzi ndiye awe msemaji kuleta imani!

Zilivyoingia simu za kupangusa tulidanganywa kuwa ni za mpinga kristo, baadae tukasikia zinanyonya damu, baadae tunaambiwa zinaleta Kansa lakini sasa wote tunatumia!

Itoshe kusema Wachungaji fundisheni Bibilia na kuitetea, wanasiasa sikilizeni wataalam siyo kwamba watalaam wawasikilize ninyi, makamanda shughulikeni sehemu yenu mengine waachieni wengine!

Kujua kila kitu nako ni kutokujua!
 
Itoshe kusema Wachungaji fundisheni bibilia na kuitetea, wanasiasa sikilizeni wataalam siyo kwamba watalaam wawasikilize ninyi, makamanda shughulikeni sehemu yenu mengine waachieni wengine!
Ni propaganda kila kona..
Mi-5 tena
 
Wajinga ni wengi sana hii nchi. Mengine yameenda "shule" lakini ni mazuzu ajabu (apparently, shule za kusomea ujinga— nimeambiwa).

Mara wakasema sijui wazungu wana mkakati wa "kutunyima" nguvu za kiume!

Nakumbuka hata zile neti za Obama nazo zilipigiwa propaganda za kufa mtu!! Tukaambiwa ati ni neti za mafrimasoni wenye lengo la "kusambaza ushoga" Tanganyika.

Huo ushoga sijui ni kirusi fulani hivi kinachoenezwa kwa njia ya hewa?

You can imagine how majority of our people are so stupid and little informed. Na wengine ni watu maarufu tu!

Kujitia tia ujuaji tuu ..... ooohhh wazungu wanataka kutuua! KWA LIPI?

Kuandika tu kwenyewe hujui wakuue kwa lipi haswaa?

Kila kitu kwao ni kuhusu nguvu za Kiume!

Every conspiracy theory they make is about "nguvu za Kiume". Nguvu za Kiume this, nguvu za Kiume that!

Hicho tu ndicho kitu pekee wanachokijua!
 
Ni lipids particles katika kirusi cha Corona ambacho zina act as an insulant na kukifanya kua resistant to body cells attack.

Hiyo ilikua lecture ya mkufunzi Gwajima kwa waumini wake katika early days of Corona
Yaan ili mradi tu kutaka sifa
 
Utakuta anayesema labda dawa fulani zina madhara bla bala kibao mdo huyo huyo anatumia ARV
 
Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao!

Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena

Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu!

Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi, mchungaji anamkosoa tabibu; Kamanda ndiye anakusanya kodi n.k We can't move on that way!

Taarifa za afya zilitakiwa kutolewa na mganga mkuu full stop!

Mwenye ujuzi ndiye awe msemaji kuleta imani!

Zilivyoingia simu za kupangusa tulidanganywa kuwa ni za mpinga kristo, baadae tukasikia zinanyonya damu, baadae tunaambiwa zinaleta Kansa lakini sasa wote tunatumia!

Itoshe kusema Wachungaji fundisheni Bibilia na kuitetea, wanasiasa sikilizeni wataalam siyo kwamba watalaam wawasikilize ninyi, makamanda shughulikeni sehemu yenu mengine waachieni wengine!

Kujua kila kitu nako ni kutokujua!
Ishu ya kansa bado sana mzee mana mnaweza mkawa mmetagetiwa baada ya miaka 50 hivi ama hata kutokea kwa mjukuu wako so usikimbilie Ku conclude.
Kwa wale waliosoma advanced physics watanielewa masuala ya radioactive and and radioactivity elements watajua masuala ya half life and rate of decay ni muda mrefu sana nimeyasoma takribani kama miaka mia imepita wajukuu zangu.
 
Kwahiyo wewe hutumii?
 
Back
Top Bottom