simu

  1. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Nini maana ya promosheni ya laini ya chuo kama mnaunga watu hata wasio wanachuo?

    Kuna promosheni pendwa sana maalufu " laini ya chuo" Hii ni simcard iliyokuwa na lengo la kumrahisishia mwana chuo kupata mawasiliano akiwa chuoni kwa bei nafuu! Huduma hiyo mwanzo ilihitaji kitambulisho cha chuo ili kuunganishwa kutoka mitandao yote! Sasa hivi kila mtu hata tusiokuwa wanachuo...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi namna ya ku-unlock network hizi simu za kijapan SHARP ANDROID ONE S3-SH

    Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu alishawahi kukumbana na tatizo kama hili kwenye simu hizi za kijapan akafanikiwa kutatua naomba tupeane...
  4. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufungua biashara ya huduma za ufundi simu, laptop, smart Tv nk kwa Dar kwa mwenye mtaji mdogo

    Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
  5. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu TIGO, AIRTEL, VODA NK. Msiifuate hii amri itatuumiza watumiaji wenu na FL wenu mtaani

    Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko. ====== Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
  6. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simu ya Usiku wa Manane yamaanisha nini?

    SIMU YA USIKU WA MANANE Leo Taikon sina maneno mengi, nianze kwa kuwasalimia wote, Kalagabaho! Sijui kama nakosea, lakini kama nikijiita mwenyeji wa mji wengi wanaweza kunikazia macho yao mabaya wakiniita Mjuaji. Najua siwezi kukataa kuwa wapo wenye miji yao ambao hawataniruhusu nijipe anuani...
  8. kidadari

    JamiiForums Tanzania Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

    Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series...
  9. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania ITEL S31: Simu kujizima kila muda

    Habari ya asubuhi wadau. Nina simu aina ya Itel S31. Kiukweli hii simu ina kamera kali pia ipo speed sana kuitumia na ni nyepesi. Sijawahi hata siku moja kuiona imekuwa nzito. Tatizo la simu ni kwamba yaani hata ukiiweka mfukoni ikigongana na shilingi iliyopo mfukoni lazima ijizime. Yaani...
  10. masara

    JamiiForums Tanzania Vodacom(mitandao ya simu) wekani uchaguzi wa mteja kutumia mastervcard ipi kama kasajili zaidi ya moja

    za mda huu wadau, mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili mastercard zaidi ya moja kwenye laini ya simu moja lakini pale anapotaka kutumia card fulani hakuna...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

    Hii sio hypothesis, imeshakuwa proven kwa tafiti zilizofanywa na wengine wanaotafiti kuhusu poor economics. Iko hivi ni rahisi kujua kuwa gharama za kutuma na kutoa fedha kwa kutumia simu, iwe M-pesa, Tigo pesa nk ni gharama zaidi kuliko kutumia benki i.e ATM ambazo zimetapakaa nchini. Kwa...
  12. Salahan

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tozo za huduma wa utoaji fedha wa makampuni ya simu ni wizi wa wazi kwa walalahoi

    Kwa kweli tozo za utoaji wa fedha kwa mitandao kwa sasa sio rafiki tena kwa Mtanzania wa kawaida ni kummaliza kwani unapotumiwa kiasi cha 10 000 kampuni wanakata kiasi cha shilingi 1000 hii ikimaanisha ni 10% ambayo kwa kweli ni kiwango kikubwa mno na pia ni kama wizi au kumuibia mnyonge ambaye...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simu ya aina gani umeshawahi kuitumia na ukaikubali sana?

    Simu zinakuja na kuondoka. Binafsi nimetumia simu nyingi sana. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola, mwaka 1996, service provider wangu alikuwa Tritel. Lakini katika simu zote ambayo nilizama nayo penzini kwa dhati ilikuwa Nokia Lumia 1020, hiyo ilikuwa 2012. Hadi leo sijaona mwamba wa...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Camera ya Nokia Lumia 1020 ya zama zile na camera za simu za leo

    Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita. Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la...
  16. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  17. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa TCRA kudhibiti Simu feki ni ushahidi kuwa TRA na TBS zimesinzia Kabisa

    Wana JF, Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato. Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

    Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe. Chanzo: Channel ten My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!! Maendeleo...
  19. gm man

    JamiiForums Tanzania Error wakati wa ku flash simu

    Wakuu, nilikuwa na flash simu yangu then bahati mbaya pc ilitaka kuanguka so nilipoidaka simu ika chomoka na process iksimama sasa kila nikijaribu ku flash tena inakataa, simu hiwaki lakini ile taa nyekundu ya charge inawaka ila haioneshi kama chaji inaingia Naomb msaada wa kulitatua tatizo...
  20. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yafidie MB zetu

    Tokea siku moja kabla ya uchaguzi mpaka zaidi ya wiki moja baadaye mawasiliano ya kimtandao yalisitishwa nchini. Kwa muda wote huo vifurushi vya internet tulivyonunua havikuweza kutumika na vifurushi vingine vili'expire' ndani ya hicho kipindi cha zuio Tunayataka makampuni ya simu yasijikaushe...
Back
Top Bottom