Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
283
107
Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk.

Nisaidieni

------------------

KISHERIA: inatakiwa uwe natin namba naleseni yabiashara, ukishakuwa navyo hivyo utapiga copy tin namba yako naleseni yabiashara nakitambulisho kati yahivi kitambulisho chakupigia kura/ kitambulisho chautaifa/ au leseni yaudereva, utachukua nyaraka zako utazipeleka kwamtandao husika nautawaachia mawasiliano yako hapo kazi yako inakuwa imeisha nabaada yamda watakutaarifu kama tayar nautaenda kuchukua till zako.

Kwa kifupi hatua ni hizi:

1. Uwe na TIN ya biashara
2. Uwe na Leseni ya biashara
3. Uwe na kitambulisho kinachotambulika kitaifa mfano passport, driving licence, cha uraia, cha kupiga kura, n.k.

Halafu toa copy nyaraka zote na ku verify then submit kwa dirisha la mtandao linalohusika na miamala ama kwa kampuni ama mtu binafsi anayefanya hiyo kazi kama wakala then ata submit kwa mtandao husika.

Ama unaweza kununua kwa wauzaji maana huwa pia zinauzwa na watu walioshindwa kufanyia biashara ama walioamua kuhama biashara. Bei hutegemeana na mtu hakuna bei rasmi. Currently wanauza kuanzia 250,000 lkn hakuna kiwango rasmi unawezakuta hata akakupa bure hahahahaha

Usisahau na kuwa na hela ya kuanzia biashara yaani mtaji.
 
Yani ununue lain laki 2.5 huo.ni wizi kabisa..line ni bure ...hio laki 2.5 bora aiweke kwenye biashara husika.
 
Naombeni nifahamishe jinsi ya kupata namba ya uwakala kwa mitandao yote iliyopo Tanzania.

Nasoma mawazo yenu
 
Subiri wanakuja mkuu. Mimi nipo huku shambani Runzewe sijui mambo hayo, ungetaka mambo ya maharage ningekushauri.
 
Naombeni nifahamishe jinsi ya kupata namba ya uwakala kwa mitandao yote iliyopo Tanzania.

Nasoma mawazo yenu
Vitu vitatu vinahitajika.
Copy ya
TIN
LESENI YA BIASHARA
KITAMBULISHO CHA NIDA.
Note: Majina ya kwenye Tin yako yafanane na Kitambulisho chako cha Nida.
Copy zote zinatakiwa kua Certified(Kupigwa muhuri wa mwanasheria).
 
Kama leseni ya biashara huna? Na je unaipata kwa bei gan leseni ya biashara
 
Back
Top Bottom