Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,665
2,000
Habar wadau !!

Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu

Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku

Nifanyaje

NOTE sitak purchase plan apps nataka free
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,223
2,000
Muite mtoto kaa nae chini ongea nae atakuelewa zaidi hayo ya ku hack simu yake ina maana tayari hamko close nae. Na kama hamko close nae inaweza kuwa sababu ya yeye kuharibikiwa

Kwa hiyo anza kubadilika wewe kwanza mkuu kisha mbadili mtoto. Kama hamna u close hata uki hack simu na ukagundua madudu ya aina gani hautaweza kumbadili tena!
 
Kuanza uswahoba na mtoto ni ujinga tena utamfanya akudharau mm reasoning ili hata nikimuweka chin nijue naongea nae nn na nn ?
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,704
2,000
Mzee achana na hizo plan kaa na binti yako umpe darasa la mahusiano na maisha kwa ujumla, mtoe out mara chache itamsaidia.

Sasa wewe hack alafu ukute anamsifia mhuni aliyempeleka kwa mpalange.

Maumivu yake sio madogo itakuharibu sana kisaikolojia na lakufanya hutakuwa nalo
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,365
2,000
Wewe ni Mjinga

Mfanye mtoto kua Rafiki yako

Utamsaidia kwa lolote.

Mjinga mmoja wee, Inamaana ukishahack?? Mtoto ??

Muhack mkeo sasa, ukute anachat na CARLOS .

kaa na mtoto, ongea naye, mpe elim ya unachotaka.

Kuna jiran alikua mpaka likizo haruhusu mtoto kutoka nje ya Geti.

Lkn kuna siku, aliambiwa, mtoto anamimba.
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,665
2,000
Mzee achana na hizo plan kaa na binti yako umpe darasa la mahusiano na maisha kwa ujumla, mtoe out mara chache itamsaidia.

Sasa wewe hack alafu ukute anamsifia mhuni aliyempeleka kwa mpalange.

Maumivu yake sio madogo itakuharibu sana kisaikolojia na lakufanya hutakuwa nalo
Truth pain is what i want najua ni jins gan ntacontrol cha msing nikujuq dogo kwa sasa anafanya nn
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,665
2,000
Kama una hela niPM
Nipe mwongozo kwanza hapa hapa maswal ya bei ntakuja huko PM afu pili huu uzi nilitaka tuuongee technically ila watu naona wana comment socially nilishawaambia kabisa hapo juu hii kitu kwa ethics za kaz sio sawa

Weka vitu watu wachangie
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,253
2,000
Nipe mwongozo kwanza hapa hapa maswal ya bei ntakuja huko PM afu pili huu uzi nilitaka tuuongee technically ila watu naona wana comment socially nilishawaambia kabisa hapo juu hii kitu kwa ethics za kaz sio sawa

Weka vitu watu wachangie
Si unataka kutrack simu ya mwanao? Njia zipo mbili,kwa account ya gmail au MTF,utachagua ww
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom