Hadi leo hii kuna wanandoa wanashare simu (This is modern world modern)?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana.

SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO UWASILIANE NAYE!!, JE JIRANI AKIKUTA MWENZIO KAENDA SEHEMU BILA KUAGA, UKIRUDI SI UTAPANIKI KWA HASIRA.

UNASHINDWA MNUNULIA MKEO BONTEL YA 15000/= HALAFU WEWE NI MACHINGA KARIAKOO WAKATI WEWE UNA TECNO FANTOM?

YAANI MKE HANA SIMU, WEWE UNA SIMU. HAYA BANA ACHA NIKOMEE HAPA.
 
Thread 'Sikai na SMS kwenye simu, nikishasoma nafuta' Sikai na SMS kwenye simu, nikishasoma nafuta

Je, ni kwasababu unashea simu na mke wako?

Acha hizo bana. Nanukuu UNASHINDWA MNUNULIA MKEO BONTEL YA 15000/= ALAFU WE NI MACHINGA KARIAKOO WAKATI WEWE UNA TECNO FANTOM?

🤣🤣
Sorry Mkuu nisamehe🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Hahaha kwa hiyo nimejipiga jiwe gizani sio? ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
aisee mapenzi ni kitu cha ajabu sana
nina ndugu mmoja mpaka leo hii kakatazwa na mmewe kumiliki simu na ana kabishara chake mwenyewe
akitaka mawasiliano jioni mumewe anamserachia jina au anaandika namba anazungmza anarudisha simu
 
Yaani wakogo kiajabu sana
aisee mapenzi ni kitu cha ajabu sana
nina ndugu mmoja mpaka leo hii kakatazwa na mmewe kumiliki simu na ana kabishara chake mwenyewe
akitaka mawasiliano jioni mumewe anamserachia jina au anaandika namba anazungmza anarudisha simu
 
Back
Top Bottom