simu

  1. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu Itel A30 kwa Tsh. 150,000/-

    Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
  4. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

    Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo; 1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA, Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution. Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo. NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA. Nimechukua namba za customer care staff...
  6. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Simu ambazo ifikapo mwezi Novemba 2021 hazitaweza kuingia WhatsApp

    MAELFU Ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu. Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

    MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

    Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

    Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu. Picha ya pili. Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

    ...am editing
  11. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Simu zilizotumika Korea, Japan, UK, au USA

    Wadau, Mwenye connection ya kununua simu ncbi tajwa hapo juu, anipe maujuzi tafadhali. Nawasilisha.
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuonana au kuwasiliana na Waziri Ummy Mwalimu

    Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi...
  14. Abu Haarith

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa Password katika simu ya tecno F1 bila kutumia computer

  15. Vontec

    JamiiForums Tanzania Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

    Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk. Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
  16. Askari wa motoni

    JamiiForums Tanzania Simu ya Pixel 2 xl 128 Gb inauzwa kwa 350k mpya kabisa..

    Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi... Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k). Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam... 0754273820...
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  18. Saa kumi na moja

    JamiiForums Tanzania Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

    Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
  19. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Msaada wa IMEI simu ya HUAWEI Y5 PRIME

    Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
  20. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu

    Jamani habari, Ma mkubwa wangu simu yake inaandika hivi, tatizo itakuwa nini haswa 👇
Back
Top Bottom