MAELFU Ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu.
Picha ya pili.
Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
Habari!
Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).
Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.
Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?
Thanks
Ndugu wana-Jamiiforums wenzangu nahitaji kuonana au kuwasiliana tu na mhe. Ummy Mwalimu Waziri TAMISEMI naamini nikionana nae jambo letu kwenye kuinua elimu yetu tunaamini litakwenda hasa katika kipindi hiki cha utandawazi.
Nimefanya jitihada nyingi ila nimeshindwa wakuu vizingiti ni vingi...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk.
Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi...
Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k).
Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam...
0754273820...
Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi.
Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali?
Niwaase...
Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto.
Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA...
Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
Amani iwe nanyi Waungwana!
Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk.
Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.