simu

  1. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Kupata mkopo online kwa kutumia simu

    Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simu yangu moja tu ikasababisha nyumba nzima tuwekwe kizuizini

    Mnamo tarehe Machi,15, msafiri mmoja aliiingia Tanzania majira ya saa kumi jioni. Msafiri huyo ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda. Baadaye ikathibitishwa kuwa msafiri huyo alikuwa ni mgonjwa wa kwanza wa corona Covid-19...
  3. Moment of silent

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu mawasiliano yangu ya simu

    Habari za mda huu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani. Watu tofauti walipokuwa wakinipigia walikuwa wakipewa ujumbe huu.''Namba unayopiga haipatikani kwa sasa" Cha kushangaza Mnara unasoma...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu

    Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu. Naanza ya kwangu.
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
  6. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

    Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio wakaaji wa nyumbani ile unatoka hom leo kurudi pengine wiki kazaa mbele Basi bwana baada ya wiki kazaa...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Simu Samsung Brand inahitajika

    Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana. Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
  8. ngotho

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inadownload vitu automatically

    Wanajukwaa, simu yangu inatabia ya ku-download vitu kama vile apps, na hii inatokea automatically. Naisaidieje hili tatizo? Msaada wenu tafadhali.
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

    Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple. Kutokana na baadhi ya...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

    Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini kwenyewe. Naona kadri siku zinavyoenda inasambaa kwa mataifa mengine. Leo mimi simu yangu imepata...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Laini za Simu zaripotiwa kufungwa nchini Sudan

    Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi. Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba 25 licha ya kuwepo maagizo ya kuzirejesha, hali ambayo imeweka ugumu kwa Wanaharakati kuandaa...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kichina kwa Bei Rahisi kabisa

    Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi. Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

    Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli. JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika. Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kina Kibatala waikatae diary na simu iliyotunzwa na mahakama, Watajuaje kama imefutwa taarifa walizotaka?

    Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi kuwa kizimbani. Sasa jaji akaamuru mahakama ikae na hio diary huku jumatatu tukisubiri hoja kwamba...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Pata simu kali za oppo hapa kutoka oppo brandshop China plaza

    habari karibuni dukani kwetu ujipatie simu kali za oppo . oppo a15 ram 2 gb storage 32gb Front Camera: 5MP✅ Rear Camera:13MP + 2MP + 2MP✅ RAM: 3 gb✅ Storage:32GB✅ Battery Capacity 4230mAh✅ OSAndroid 101✅ Warranty 2year ✅ karibu sisi ndio the only oppo brandshop in tanzania Price 2GB ram...
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nasikia si kweli kuwa simu za mkononi zinaongeza uwezekano wa kupigwa na radi

    Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi. Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi. Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tozo za kwenye vifurushi vya simu ziangaliwe upya

    Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi. Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
Back
Top Bottom