Agiza simu kutoka china kwa bei ya viwandani na kampuni ya AA Tanch Trading na upate offer ya kipindi hiki

Aug 24, 2021
27
16
Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company.
Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading Company ndipo nlipogundua kuwa nipo mahali sahihi. Sisi waagizaji huwa tuna kuwa na wasi wasi wa bei na faida tutakayoipata. kama tukitumia kampuni flani kuagiza bidhaa kutoka china. Na bidhaa izo nikimaanisha bidhaa kama simu.

Wasi wasi huwa hauishii kwenye bei tu, bali na ubora wa bidhaa zenyewe ikiwemo simu. Hapo ndipo muagizaji huanza kujiuliza kwamba ni kweli ntaletewa bidhaa nilioagiza? au itakuwa na mapungufu ambayo yataniletea hasara?

Lakini kumbuka maswali hayo yote ndio yaliosababisha kampuni kama AA Tanch Trading iliyopo Arusha Makao Mapya kufunguliwa. Ili waanze kukuonesha kuwa wamebobea katika maswala ya usafirishaji wa bidhaa zako, kutoka nji mbali mbali, ikiwemo China, Dubai, Japan na south Africa.

Na kwa mara ya kwanza wewe kama mteja utapewa mikataba ambayo wewe mwenyewe utaridhika nayo. Na ukiachilia mbali swala la kukuhakikishia bei nzuri na bidhaa zenye ubora ule ule uliokuwa unataka. Kumbuka kuwa utahakikishiwa pia na kusafirishiwa bidhaa zako mpaka mahali ulipo. Ikiwemo mlangoni kwako.

Kwa wale wateja wanaojali mda wa kufika kwa bidhaa zao na ambao hawategemei soko la ndani tu kama mimi. Nilifurahishwa sana na kitendo cha kuona mzigo unanifikia na gari hadi mlangoni. Na baada ya mzigo wangu wa kwanza kuisha bila kuwa na tatizo lolote. Ndio sasa kiu ya kuendelea kuagiza simu kutoka china na kampuni hii ya AA Tanch Trading Company imeongezeka.

Na nimeona nisibaki na mwitikio huu mwenyewe. Niwakaribishe na nyinyi pia kuanza kuagiza simu na bidhaa mbali mbali kutoka china. Kwa bei ya viwandani.

Kama bado una maswali au upo mikoani na unataka kutumia kampuni ya AA Tanch Trading Company kuagiza simu kutoka china wanakukaribisha sana.

Na kama ukiwa na maswali unaweza ukawapigia kwa namba 0756 591 943/0655 591 943

Mimi nimefurahia sana huduma zao.

Karibu na wewe mfanyabiashara mwenzangu uwahi kuanza kuona mabadiliko ya faida kwenye biashara yako.

Usiache ku share ni muhimu sana kwa wafanyabiashara kufikiwa na ujumbe huu.
Jiunge group letu la telegram ili kufaham zaidi kuhusu kampuni yetu(Telegram Group).
 
Kikuu mlianzaga hivi hivi, baadae mkaanza kufanya ujinga. Mtu anaagiza tshirt lakini analetewa chupi tena ya mdoli.

Unaagiza apple iphone 7+, utakacholetewa huwezi amini, na delivery ni mbaya kichizi. Kila siku ukitrack mzigo unaona mapicha picha tu.

Endelea na promotion kwa wageni wa kuagiza kwa hizo kampuni mpya, but aliexpress, amazon na ebay wapo vizuri sana.
 
Kikuu mlianzaga hivi hivi, baadae mkaanza kufanya ujinga. Mtu anaagiza tshirt lakini analetewa chupi tena ya mdoli.

Unaagiza apple iphone 7+, utakacholetewa huwezi amini, na delivery ni mbaya kichizi. Kila siku ukitrack mzigo unaona mapicha picha tu.

Endelea na promotion kwa wageni wa kuagiza kwa hizo kampuni mpya, but aliexpress, amazon na ebay wapo vizuri sana.
kwa hawa wanaitwa AA Tanzania China na Unaagiza kwa kupitia ofisini na sio direct online. Ukiwapigia simu kama upo tayari kufanya nao biashara watakupa mwongozo kamili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom