(Kipori/ Kamsitu)Njia ya vumbi kuelekea South Beach Hotel, Kigamboni, ina vibaka wanaopora simu

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto.

Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
 
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
Sasa nao wanapitaje pale mida mibovu bila
Kufunga viooo
 
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
Uzi tayar....gar haina ac?unaachaje kufunga vioo?barabara ile

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tangu miaka ya 2013 kile kipande ndo kipo hivyo. Hata kule beach public karibu na Sunrise Beach Resort ukiwa unatoka peke yako giza likishaingia kuja Road unaweza kukabwa
 
Tena sio kushusha kiio tu mpaka milango huwa wanajaribu kufungua kama uko wazi wanazama ndani na panga
 
Madem wakiwa kwenye vi baby walker uwa wana jiachia sana .dirisha zote chini waonekane vzuri big up kwa bwana mwizi
 
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto, Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA Chukueni hatua.
Maeneo hayo hata wale Beach boys ni hatari Sana. Infact beach za Kigamboni nyingi zimejaa vibaka. Niliwahi kwenda hapo j2 nikakuta Kuna disco vumbi vitoto vya Kigamboni, Kijichi, Mbagala na kongowe Kama wote.
**Huo msitu wa mm hapo hotelin?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom