Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Mechi hii imechezwa jana majira ya saa 11 alfajir
mechi ilianza kwa kasi na toka mwanzo mwa mchezo Yanga ilitaka kuonyesha umwamba wake mbele ya simba na wakajipatia goli la mapema dakika ya 2 kupitia kwa Bernad Morrison.llilkuwa moja ya magoli matamu kabisa kushuhudiwa ndani ya uwanja wa taifa...
Wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika yameweka marufuku ya kutotoka nje ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corano, bila shaka wanyamapori wamegundua kuwa watu wameondoka.
Katika moja ya hifadhi kubwa ya wanyama pori barani Afrika Simba wameamua kuchukua fursa hiyo...
Hivi mtu akisema nimeua mtu hafalu hakuna mtu aliyeuawa wala ushahidi wa kuua mtu huyo mtu anaweza kutiwa hatiani kwa kosa la kuua mtu?
Hivi mtu akisema nimemuua Bwana Mateso Kamau halafu Bw. Mateso Kamau anaonekana mitaani yuko hai na anakanusha kuuawa na huyo Bwana mahakama inaweza kumnyonga...
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama.
Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa...
Simba kupigia page zao za mitandao ya kijamii wameanzisha program ta kuuliza maswali na mchezaji anajibu papo hapo live
Hiki kitu ni kizur na ni ubunifu mzuri chini ya senzo
Vipi wadau wa soka hapa nchini mmeuelewa?
Je maswali nkonki yanajibiwa?
Nawasilisha
Mugah M
Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu.
mungu amrehemu
Asha Muhaji enzi za uhai wake
======
Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano.
Asha...
Klabu ya Simba itaendelea kuwa kichwa cha Mwendawazimu, kufungwa na kutofanya vizuri katika michuano ya Afrika iwapo itaendelea kushikiria akili na tamaduzi hizi,
Taarifa zinasambaa Papy Kambamba Tshishimbi anaondoka Yanga kuelekea Simba, taarifa hii imesambaa kwenye vyombo vya habari, pia...
Patashika ya Ligi Kuu kuwania Taji la Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kupigwa leo Jumatano ya March 11, 2020 ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba SC, ambao ni vinara wa VPL, wakiwa na alama 68 kwa michezo 27 wanapambana na Singida United ambao wanashika nafasi ya 20 kwa alama 12 wakiwa...
Hello Tanzania na kando ya Tanzania
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.
Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda...
Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote zitafungwa katika kila kipindi kwa hiyo Klabu kuwa kuna hujuma kubwa (umafia) ambao wanapanga Kufanya hasa...
We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard.
Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali...
Kwa kiwango cha uchezaji cha kiuongo mahiri Said Ndemla hastahili kufanyiwa haya anayofanyiwa. Kumuweka benchi kijana huyu kwa miaka mitatu (03) haiko sawa na kuto mtendea haki.
Inanawezekana yeye ameridhika na malipo anayopata Simba, ila atambue kuwa mpira ni kazi inayodumu kwa miaka michahche...
PORI la Akiba la Liparamba linalopita katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, limejaaliwa kuwa na vivutio ambavyo havipatikani katika hifadhi nyingine nchini. Liparamba ni hifadhi iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ambayo ina wanyama aina ya tembo ambao ni wakimbizi ikiwa na maana kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.