AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,048
- 3,568
Nimepita uwanja wa taifa na kuona magari ya serikali yakiuza tiketi za pambano la watani wa Kariakoo.
Kwa kiashira hiki ni dhahiri uwanja wa taifa utatapika leo. Hili likifanyika basi marufuku ya level seat ISITISHWE.
Marufuku hiyo iliyochukuliwa kama tahadhari ya Corona itakuwa haina maana yoyote kama serikali imeruhusu watu 60 000 wakusanyike sehemu moja.