Yanga tunaendelea kupambana kuja chukua Ubingwa wa Ligi Kuu. Simba leo inapoteza na mechi zijazo itapoteza mpaka mwisho.
Yanga tunapindua Meza.. tumekuja kuwaonesha maajabu. Simba hachukui Ubingwa.
Tanzania Prisons. Waweke ndani hao jamaa hapo uwanjani. Na wasitoke hata kwa dhamana. Sisi tupo...
Habari wadau.. natamani sana yanga yangu ingepata kiongozi mbabe na mpenda maendeleo kama magufuli. hawa kina msolla na wenzake kina mkwassa ni wasanii tu.. miaka yote tunawajua hawajawai kupata mafanikio yeyote ya taasisi wanazoziongoza..Magufuli japo mpira haupendi ila kuongoza anajua.. maana...
====
BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam tangu kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Juni 13.
Ligi Kuu Tanzania Bara ilisitishwa Machi 17 kutokana...
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
Wanaume wapatao 7 walivamia nyumba moja katika kijiji kimoja nchini Ethiopia na kumkwapua binti wa miaka 12 ambapo mmoja wa watekaji alitaka kumuoa bila ridhaa yake wala kibali cha wazazi wake. Walipokuwa njiani wanaenda naye kwao huku wakimburuza kwa nguvu na kumpiga huku akilia walikutana na...
Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu.
#kishingoout#kishingorudikwenu
Habari wadau..
Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika..
Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league nimejifunza mengi sana..
Mpira wa africa una tofauti kubwa na wa ulaya.. ushindani wa caf champions...
Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine Tatu ( 3 ) ambazo zote tutazicheza katika Uwanja wa Uhuru au pale kwa Mkapa.
Sina Shaka na Timu yangu...
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni.
Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua.
Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo:
1.MZUNGUKO elfu 5000
2.VIP B elfu...
Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.
Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani.
R.I.P George
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu nisiyoipenda kabisa duniani ya Simba SC. Tuwaombe akina GSM, La Liga na Klabu ya Sevilla waje watusaidie...
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.