Kumekucha simba leo 8/8 saa 8

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Saa 8;00 mchana club ya simba inaanza utambulisho wa wachezaji wao wapya watakao tumika msimu ujao
Unadhani watanza na nani?
Je ni jack shonga au makusu?
 
Ivi mwaka huu hakuna SIMBA DAY sijasikia kabisa matangazo ya simba day mwaka huu
 
Back
Top Bottom