Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil zake zinatumika kulipa mishahara ya Simba bila sababu.
Mh. MO anataka Simba ishinde mechi zoooooote...
Huyu mdau anasemaje?
Jicho langu: TATIZO LA SIMBA LINAJENGWA NA VIONGOZI
Hakuna anayeweza kubisha kuwa simba ndiyo timu yenye wachezaji bora kwa sasa Afrika Mashariki, Simba inao wachezaji wa kila namna wanaoweza kutengeneza matokeo hata wale ambao hawapati nafasi mara kwa mara bado ni bora na...
Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara kwa kuachana na Kocha Patrick Aussems.
Kocha huyu mlieachana naye alikuwa anajua kuusoma mpira na...
Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu.
======
UPDATES:
========
Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa...
Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni!
====
SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, katika fainali ya Kombe la Mapinduzi...
Ndoa isikie kwa mwenzio
Mmoja wa waliokuwa wanajua shida na raha zilizokuwa zikiendelea za dogo watu Stamina
Tusingependa mengi hata alichoongea najua akutakiwa ila.Ukweli unabaki kuwa kweli wachezaji mwache kuingilia ndoa za watu mtageuzwa.
Mchezaji gani tuendele kusubiri atatuambia siku moja
Mechi hii iliyofanyika Jumamosi ilikuwa na matukio mengi ya uwanjani na nje ya uwanja lakini wakati washabiki wengi wakijikita kwenye mjadala wa penati ya Kagere kama ni halali au siyo halali na wengine kujikita kumjadili Aishi Manula juu ya magoli yaliyofungwa huku nje kabla ya kuingia kulikuwa...
Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi
Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
Hili ni angalizo ninalolitoa kwa Timu yangu ya Simba , Tusithubutu kudharau yanga kwa sababu ya dhiki waliyonayo , tutaumia ! Inapofika siku ya mazishi Masikini wanakuwa na umoja wa ajabu sana !
Hebu angalia Buguruni kwa Mnyamani au Temeke Mikoroshini jinsi masikini wanavyozikana ...
Unajua 'evolution' ni kitu cha ajabu sana, na najua ugumu wa ku-comprehend hii concept inatokana na watu kukaza ubongo, yaani mtu anakuwa na prefixed mind set yake ambayo hairuhusu kabisa mawazo mapya kuingia kichwani na kufanyiwa kazi, mbaya sana hiyo.
Anyway, moja ya njia ambazo 'evolution'...
Job Description
Posting ID: SLS-2019-004
Simba Supply Chain Solutions and Simba Logistics are looking for a an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 40 years. This position will be on a two year fixed contract. The major focus will be to continue...
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa...
Mambo, nashida na maziwa ya Simba anayenyonyesha nimeelezwa yanatibu kabisa vidonda vya tumbo. Nimeambiwa yanayofaa zaidi ni ya simba aliyezaa hivi karibuni. Wapi napata simba nimkamue mie.
Nimezifuatilia sababu za baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Mashabiki ' Wapuuzi ' wachache juu ya sababu zao kutaka Kocha Mkuu wa Simba SC Patrick Aussems aondoke na Kugundua kuwa zote ni za Kipopoma. Moja ya sababu ambayo hadi hivi sasa imeniacha hoi ni kwamba baadhi ya Viongozi hawamtaki Kocha...
Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year).
Emmanuel Okwi ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi chetu na yeye ametajwa kuwania tuzo hiyo...
Watanzania wengi ni wapenzi wa michezo haswa Soka, lakini pia ni washabiki wa timu za taifa na vilabu vilevile haswa Simba, Yanga na Azam.
Watanzania hupenda burudani ya mpira kwa kutazama uwanjani, kwenye Tv au kusikiliza redioni.
Leo Novemba 23, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa upande wa...
Hebu tafakari hili, unatembea mjini halafu upite karibu na nyumba inayolindwa na simba wala sio mbwa.
Hiyo ndio hali waliokumbana nayo wakazi mjini Lagos, Nigeria baada ya mmiliki wa nyumba moja kuamua kutumia simba kama mlinzi.
Simba huyo wa miaka miwili aliripotiwa kuonekana katika nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.