simba

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Sc Vs Alliance,Kukabidhi kombe la VPL kwa mashabiki

    Kikosi cha kutia adabu wanafunzi kama tulivyowatia adabu wakongwe Deportive La Utopolo Reds in Town tukikinukisha na kombe letu
  3. muhani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Luis Miquissone ni amekuwa wa Moto Simba

    KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbuji, ameonekana kuwa moto wa kuotea mbali, labda kuliko staa mwingine kwenye timu hiyo kwa sasa. Huyu ndiye alikuwa staa kwenye mchezo wa nusu fainali wa Kombe la FA kati ya Yanga na Simba ambao Simba walishinda kwa mabao 4-1.Kiungo huyo ambaye...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Uweledi huu, Upendo huu mkubwa na Malezi haya mema unategemea kweli Wachezaji wa Simba SC ' wasipafomu ' Uwanjani na Kubeba Mataji yote?

    WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA WACHEZAJI 29 BILA KUJALI ULICHEZA AU ULIKUA JUKWAANI. simbadaily.com Asante sana ' Big Boss ' Mo Dewji na...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali: Mechi ya Simba na Yanga imeonesha elimu zaidi bado inahitajika kuhusu CoronaVirus

    SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya virusi vya corona viwanjani. Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
  6. ommytk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga baada hiki kipigo tulichopigwa na Simba leo Msolwa kuna haja abaki klabuni

    Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini. Hivi viongozi wanajua shida tunayopata mashabiki, hebu Msolwa na wenzake watupishe kidogo. Hivi Msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa. Nimeumia sana leo.
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimependa spirit ya Molinga game na simba, nashangaa kwanini uongozi wa yanga haumpendi

    Habari wadau Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu. Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi.. Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa Molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi Spirit yake kali sana na leo ni...
  8. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa level seat usitishwe kama Simba na Yanga watajaza uwanja wa taifa

    Nimepita uwanja wa taifa na kuona magari ya serikali yakiuza tiketi za pambano la watani wa Kariakoo. Kwa kiashira hiki ni dhahiri uwanja wa taifa utatapika leo. Hili likifanyika basi marufuku ya level seat ISITISHWE. Marufuku hiyo iliyochukuliwa kama tahadhari ya Corona itakuwa haina maana...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikitika kuwaambia Simba leo Mnachezea tena. Mganga kathibitisha hamtoki tunayo matokeo tayari

    Nimepata furaha sana na sasa hivi tunarudi na jamaa zetu tumeshatengeneza miundo mbinu uwanja wa Taifa. Toka jana tupo ndani ya uwanja na mzee wetu xxxxx xxxx tunafanya mambo. Baada ya hapo tumeangalia kwenye screen. Mambo yapo fresh kabisa. Simba wamefungwa matofali miguuni. Tunawachapa...
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba ni rahisi Sana kufungika

    Tokea nianze kuifuatilia team ya Simba Ina udhaifu fulani especially Kama hautaipa space na kuwapress high wanapotea team nzima na ndio maana wanashindwa kupataga matokeo dhidi ya prison na hiki ndio kilichotokea wakatolewa na ud songo. Kocha wa Yanga akichanga karata zake vizuri Kama mwanzo...
  11. chongoe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania tarehe 12 mwezi wa 7 simba anashinda goli mbili

    Habari zenu waungwana, sijaenda kwa mtu wala mganga ila leo nimeangalia, nimepekua vitabu nikaona simba anashinda goli mbili dhidi ya yanga siku ya Jumapili.
  12. gango2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC hongereni.! But next time mtumie akili..! Vitu vidogo manashindwa fikiria

    Hivi kweli nyie mnashindwa kupiga hesabu ndogo! Mmeenda na Gari, leo mmerudi na ndege, gari yenu iko wapi?? mnashindwa kupiga hesabu kuwa gari inarudi tupu inatumia mafuta yale yale ambayo ingetumia mngerudi nayo! Sasa ona mnapoteza sh ngapi? nauli za ndege zenyewe zinazidi thamani ya ubingwa...
  13. Sir Lindege

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live: Shangwe, Mapokezi ya Simba Sc wakitua Dar na kombe lao

  14. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Masoud Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC

    Nimekutana na hii post ya Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC Leo kiukweli nimetoka kapa mwenye wazo jamaa alitaka kusema nini
  15. Wang Shu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kukabidhiwa kombe leo la tatu mfululizo 2020/2021. Namungo FC uwezekano wa kushinda leo ni mkubwa

    Hongera Simba SC kwa kuchukua kombe la Ligi Kuu Tanzanian bara. Katika kumbukumbu Simba iliwai kupoteza mechi siku ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kama sikosei uwanja wa Taifa na ilifungwa 1-0. Kwa kiwango kilichooneshwa na Namungo FC msimu huu na rekodi mzuri katika...
  16. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea pambano la Yanga Sc Vs Simba Sc

    Naona mag nyingi sana moia tinafanyaje game ya watani n ngumu ola mpaka kesho saa moja usiku else ibadilike Simba vs Yanga Simba mpaka sasa inaonekana ina asilimia 90% ya kushinda Yanga wanaweza badili haya matokeo kwenda win ama drw kwa kupitia nguvu ile ile ya ahadi na pesa Kama...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
  18. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba itajuta kuifahamu Yanga, itajuta kuifunga Azam leo

    Sasa ni rasmi Simba itakumbana na Yanga katika nusu fainali ya Azam Cup. Ni baada ya Simba kuishinda Azam mabao 2-0 hivi punde. Nawatahadharisha watani zetu wa Simba, mtajuta kuifahamu Yanga na kushinda leo. Tutawatandika tena bila huruma. Mtafute sare! Kila mara huwa nawaambia watani zangu...
  19. Pettymagambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ASFC: Simba yaisambaratisha Azam 2-0, sasa kukutana na Yanga katika Nusu Fainali

    Leo Ni Leo Waweza Kusema Hivyo! Pale Mida Ya 1;00 Usiku Katika Uwanja Wa Taifa, Timu Mbili Zenye Ushindani Mkubwa Zaidi Bongo Mnyama/ Wekundu Wa Msimbaz/ Wanalunyas/ Taifa Kubwa Timu Ambayo Inasakata Kabumbu Lakiwango Kilichothibitisha Na Shirikisho La Mpira Wa Miguu Africa Caf Dhidi Ya Azam...
  20. Wimbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports, Yanga Afirica FC hakuna mwenye hekima hata mmoja?

    Simba na Yang Africa ni virabu vya kihistoria ambavyo havitakufa kuna wakati Yang Africa ilichungulia kaburi miaka ya themanini lakini tokea wakati huo haijafanya makosa hayo. Nchi imehamia Dodoma mbona hamuwazi kuanzisha makazi ya Krabu Dodoma. Pale mlipo kwanza hapafai. Mmebaki na majengo ya...
Back
Top Bottom