Msimu 2020- 2021 Simba tunamchapa kila mechi tutakayokutana naye. Tunamchapa vibaya kwa unyama wa hali ya juu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Tukio la Simba kumchukua Morrison kimafia ni tukio ambalo litanichukua miaka mingi kufutika. Nimeumia kuliko ambavyo ningeumia kama ngeibiwa ng'ombe zangu.

Sasa Yanga tunaanza maandalizi ya kumfunga Simba mechi zote ambazo atatia mguu kupambana nasi msimu huu. Hilo ndilo lengo letu kubwa. Tunataka kuona Simba akipigwa kipigo cha mbwa koko, nyau paka shume kabisa.

Tunasajili team ambayo itaweza mfunga Simba kila mechi. GSM wamesema watahakikisha kuwa wanalipiza kipigo cha 4-1. Tumeshauriana basi wanaposajili wasajili wachezaji wa Yanga, na pia uhuni wa kwenye mikataba wasifanye tena, wamekubali.

Simba jiandaeni kuuawa. Tutawafanya jambo baya sana kimaisha. Nyau nyie.

Morrison roho inauma. Mchukueni Senzo wenu turudishieni Morrison. Senzo tunamuuliza una mpango gani na uliifanyia nini Simba anagwaya tu na kujiuma uma. Maza fanta aliyetuchuuza. Tunamtaka Morrison wetu nyie.

MCHUKUENI SENZO WENU MTUPE MORRISON WETU.
 
Usitufokeee

Mbuzikafilikengewe!

FB_IMG_15973186714409574.jpg
 
Mwaka huu tutasikia kila aina ya vilio, simanzi na fedheha pindi mtakapokuwa mnachezea kipigo toka timu bora Afrika mashariki na kati.
 
Tukio la Simba kumchukua Morrison kimafia ni tukio ambalo litanichukua miaka mingi kufutika. Nimeumia kuliko ambavyo ningeumia kama ngeibiwa ng'ombe zangu.

Sasa Yanga tunaanza maandalizi ya kumfunga Simba mechi zote ambazo atatia mguu kupambana nasi msimu huu. Hilo ndilo lengo letu kubwa. Tunataka kuona Simba akipigwa kipigo cha mbwa koko, nyau paka shume kabisa.

Tunasajili team ambayo itaweza mfunga Simba kila mechi. GSM wamesema watahakikisha kuwa wanalipiza kipigo cha 4-1. Tumeshauriana basi wanaposajili wasajili wachezaji wa Yanga, na pia uhuni wa kwenye mikataba wasifanye tena, wamekubali.

Simba jiandaeni kuuawa. Tutawafanya jambo baya sana kimaisha. Nyau nyie.

Morrison roho inauma. Mchukueni Senzo wenu turudishieni Morrison. Senzo tunamuuliza una mpango gani na uliifanyia nini Simba anagwaya tu na kujiuma uma. Maza fanta aliyetuchuuza. Tunamtaka Morrison wetu nyie.

MCHUKUENI SENZO WENU MTUPE MORRISON WETU.
Sawa. Mganga mpiga ramli ila football sio uchawi
 
Back
Top Bottom