Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote.
Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia.
Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu...
Afisa mmoja wa utalii nchini Afriika Kusini ambaye alifanikiwa kupata picha isio ya kawaida ya nyani akimbeba mwana wa simba katika mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Kruger, amesema kwamba hajawaona tena wanyama hao tangu alipowapiga picha hiyo wiki iliopita.
Katika taarifa kwa BBC, mkurugenzi...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu...
Sio kua hawajui kuna kupoteza mechi, bt hawaitaki hali hiyo coz wanaithamini club yao na hawataki iwe mazoea ndo maana wanaripuka sana ikipoteza/kutoa sare...
kwa hili nawapongeza coz wanaonesha uzalendo wapekee sana kwa timu yao.
Simba sasa tumekuwa kama pombe ya ngomani kila mtu anataka ainywe.
Hakuna timu sasa inayoogopa kucheza na Simba. Inashangaza sana kuona timu zinafunguka mbele ya Simba wakati nakumbuka ukiwa unacheza na simba lazima uchague kati ya haya ufunguke upigwe Mkono au ujilinde upigwe 2 au tatu...
Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea...
Patashika ya ligi kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL kuendelea kupigwa tena leo February 7, 2020 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili JKT Tanzania.
Patashika hii ya aina yake ikiwa ni mzunguko wa pili, inatarajiwa kuwa kali na ya kusisimua kwa muda wote wa mchezo.
Simba SC kwenye...
Mpira ni dakika tisini. Ndivyo ilivyotokea leo. Poleni sana. Mpira wenu kwa kweli umerudi nyuma sana siyo kama wakati wa Patrick ausemms. Mjitafakari muone kuna tatizo wapi. Lile boli la kutandaza halipo tena.
Muwe na makocha wazuri wa makipa. Naona makipa wote wawili wana matatizo fulani...
Kiukweli timu ya Simba inashinda mechi zake kwa mbinde ikionekana kupata matokeo kwa bahati na sibu tu, pengine kwa kusaidiwa na udhaifu wa waamuzi na mipango ya nje ya uwanja.
Kama TFF na Serikali wakisawazisha suala la waamuzi nchini huenda tukashuhudia Simba ikipata matokeo hasi chini ya...
Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia...
Simba ya msimu uliyopita ndo ilikuwa yenye ubora na sio hii ya sasa.Kuna mambo yaliyochangia Simba hii isiwe na ubora
USAJILI
Baada ya Simba kufanikiwa kuingia robo fainal kwenye CAF champions league wakajiona wapo level moja na team kama As vita baada kutolewa wakajipanga kwenye usajili...
Sasa ndiyo tumeona busara ya Mo kumteua Makonda kuwa Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba.
Najua wana Simba wenzake wakifadhaika sana na uteuzi huo.
Hili la kupigwa marufuku kwenda Marekani kwa sababu ya ukiujwaji mkubwa wa haki za binadamu unaiweka wapi Simba SC?
Mo, acha uoga, mtimue Makonda mara moja.
Team kali ya simba inadaiwa kuwahonga wachezaji Ally ally na Raphael daudi Noah za milioni 10 kila mmoja ili wakatae kwenda kwa mkopo katika team wasizozitaka walizokuwa wanalazimishwa na team namba moja kwa ubora barani afrika yaani yanga sc
Vilevile wanachama watano wa klabu hiyo tajiri kabisa...
Kabwili alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na kituo kimoja cha redio nchini, ambapo alieleza kuwa Simba ilimshawishi afanye kosa kwenye mechi dhidi ya JKT Tanzania litakalomfanya aonyeshwe kadi ya njano na kufikisha idadi ya kadi zitakazomsababisha akose mechi iliyofuata baina ya watani wa...
Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage.
Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai hela Aston Villa?
Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile.
Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi.
Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki...
Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo tutafungwa tukijitaidi Sana ni draw
Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena. Ni kupokezana kijiti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.