Nimependa spirit ya Molinga game na simba, nashangaa kwanini uongozi wa yanga haumpendi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,517
Habari wadau

Nina majonzi ya kufungwa na watani japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu.

Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi..

Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa Molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi

Spirit yake kali sana na leo ni mmojawapo waliocheza vizuri kwa upande wa yanga

Natamani Molinga abakishwe msimu ujao atokee hata benchi
 
Habari wadau

Nina majonzi ya kufungwa na watani.. japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu

Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi..

Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi

Spirit yake kali sana na leo ni mmojawapo waliocheza vizuri kwa upande wa yanga

Natamani molinga abakishwe msimu ujao atokee hata benchi
Msimamo wangu uko pale pale Molinga, Yikpe waende waendako! Na Morson hana nidhamu viongozi wamtafakari!......asitupande kichwani!
 
Habari wadau

Nina majonzi ya kufungwa na watani.. japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu

Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi..

Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi

Spirit yake kali sana na leo ni mmojawapo waliocheza vizuri kwa upande wa yanga

Natamani molinga abakishwe msimu ujao atokee hata benchi
Tengeneza timu yako umsajili molinga wewe.
 
Mmeanza kushikana mchawai.
Nyie utopolo shida mnaaminishwa sana na viongozi wenu. Ila hamna quality player wa kushindana na Simba
Zile game za mwanzo bahati ilikua kwenu, lakini kila kitu mlizidiwa
 
Kwa kipigo cha jana wanautopolo inabidi wafumue kikosi kizima, otherwise watachezea mfululizo kwa mnyama kwa miaka mitatu ijayo
 
Back
Top Bottom