simba

  1. JamiiForums Tanzania Saido na Ngoma wanaichechemeza Simba

    Fabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira... Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Simba na tatizo la namba 10

    Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na hata kufunga ikibidi Ukiangalia simba kwa sasa jukumu hilo kapewa saidoo ambaye kimsingi ni...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hekaya ya Ahmed Ally wa Simba SSC

    TAREHE 7/01/2024 " Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...." TAREHE 13/01/2024 "Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ni mnyama mla ubuyu tu

    Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
  6. JamiiForums Tanzania Mlandege Vs Simba (wengi wasichokiona)

    Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe. Wakati upande mwingine, klabu ya Simba mechi pekee iliyofungwa ni ile ya fainali.
  7. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

    Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya? Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
  8. JamiiForums Tanzania Simba imeyaheshimisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi

    Wakati kuna katimu kanajifanya kana "besi" la kusema mashindano ya kombe la mapinduzi hayana maana na kwamba yana gundu, Simba haikusikia kelele za vyura hao na badala yake imeyapa mashindano ya Kombe la Mapinduzi heshima inayostahili. Ukiacha kombe itakalobeba leo na zawadi za pesa, nadhani...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC yakosolewa kutumia AI

    Uongozi wa Timu ya Simba umekoselewa na mashabiki kufuatia kupost picha iliyotengenezwa na AI. Hii ndio Picha ya AI iliyopostiwa na Ukurasa wa SIMBA SC. HAYA NDIO BAADHI YA MALALAMIKO YA MASHABIKI. Nini maoni yako?
  11. JamiiForums Tanzania Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

    Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
  12. JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  13. JamiiForums Tanzania Simba walikua na faida ya refa na wachezaji wao wa zamani

    Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida. Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Benchikha aendelee kumuamini Onana au anapoteza muda wake?

    Nani anabisha? Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024. Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali. Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege? Kikosi cha Simba kinachoanza Kikosi...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  19. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Here it is, kwanza 1. Kadanganya Miaka yake kwa wikipedia today changed his age 32 To 26 2. Anatafutwa as an international fugitive. 3. Out of all players, wameenda kwa mtu ana history ya ubakaji. Why?
  20. JamiiForums Tanzania Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…