Habari ya muda huu wakuu. Kwa majina naitwa Mr. Dwelnish ni sehem ya uendeshwaji wa duka letu jipya kabisa kariakoo la Dwelnish linalojihusisha na uuzaji wa mashuka,pazia, foronya, na taulo Kwa sasa. Duka lipo KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA SIKUKUU.
Uzi huu ni maalum Kwa akili ya kupata Updates na...