sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO huu umeme ambao mmesema hamtakata sikukuu hii mmeutoa wapi

    Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuzuia upandishaji nauli holela wakati wa sikukuu?

    Imekuwa ni kawaida kuona taarifa za ongezeko la nauli za usafiri hasa mabasi yanayosafiri mikoani, lakini Serikali mara zote imekuwa ikitoa matamko kadhaa lakini kiuhalisia hakuna mafanikio kivitendo. Mfano ukienda Kituo cha Magufuli vilio vya nauli kupanda vipi tena kwa wingi, ninachojiuliza...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, ni madhara gani nitayapata endapo nikiamua kutotuma hela ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Emmanuel?

    Nina wazazi wawili Bibi mmoja(Grand-mother) sina mke Wala mtoto Je nikiamua sikukuu hii ipite kimya kimya na Baada ya hapo kitanipata Nini?
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mlioenda kijijini kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu nyoosheni mikono juu!

    Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine...
  6. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Biashara msimu wa sikukuu. Zipi biashara za kufanya

    Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
  7. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

    Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
  8. Friday Malafyale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

    Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu. Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu. Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat...
Back
Top Bottom