siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Siku 180 mabilioni yapigwa Uhamiaji, maofisa 32 wamehusika

    Kwa mwendo huu awamu ya 5 ilikuwa ina ufisadi mwingi kuliko awamu zote au ukijumlisha ufisadi wa awamu zote ndio unapata ufisadi wa awamu ya 5
  2. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Poleni Sana Ukraine, siku zenu zinahesabika...

    Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine, Nawasubiri pro Americans a.k.a wazee wa kukaririshwa na kuaminishwa Propaganda za westerns... 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Kama Ukraine isingekuwa inapewa silaha kila siku na nchi za Magharibi kama ambavyo Urusi haipewi silaha na nchi yoyote, hali ingekuwaje?

    Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Siku ya ubunifu: Tusherekee vitu na mambo yaliyobuniwa na watanzania.

    1. Chips yai(Zege) 2......
  5. tang'ana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake. Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja. Huyu mwanamke wangu ni mtumishi wa hii serikali ya awamu ya sita katika moja ya hospitali mjini Dar es...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  7. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    Ndugu zangu, Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali. Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio. Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati wa wanaCCM kupigania Katiba Mpya. Vinginevyo watabaki wakilalama na kulia kila siku

    Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala. Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

    Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali. Sasa huyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  12. captain dunga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  13. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sheria ya Kanisa Katoliki ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu

    Tumsifu Yesu Kristo Kwa wakatoliki, leo siku ya Ijumaa kuu ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. "funga Jumatano ya majivu usile nyama siku ya Ijumaa kuu".. ni moja ya sheria ya kanisa katoliki. KWANZA kabisa kabla ya kwenda mbali, lazima tujue kuwa, maana yetu ya msingi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

    Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa. Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku utakayofanikiwa mambo yatakuwa hivi kwa sehemu kubwa

    Kwema Wakuu! Siku utakayofanikiwa Wale uliodhani utawakomesha, utawaringishia wengi wao watakuwa hawapo, watakuwa wamekufa! Siku utakapofanikiwa wengi WA watu uliokuwa unawaonea aibu na kuwahofia watakudharau usifanye kazi fulani watakuwa wamekufa, au utagundua hakuna aliyekuwa anafuatilia...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Habari Wakuu! Mwakinyoni mpiganaji mzuri lakini moja ya udhaifu wake ni majivuno ambayo hayana manaa yoyote kwenye kazi yake. Kwenye masumbwi yapo majivuno yenye maana katika ubondia lakini Kwa mwakinyo majivuno yake nayaona Kama hayana maana kwani hayamsaidii lolote. Siku za nyuma Mwakinyo...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malazi ya £10 kwa siku kwa wasio na nyumba huko Ulaya

    Rafiki yangu mahusiano yake yalipovunjika ilibidi aondoke nyumbani akimuacha mke na watoto watatu. Anasema ndoa ilivunjika zamani sana kuasi cha yeye kuwa na ki camp bed chake chumbani ila alikaa kulea watoto wake. Hali ilifikia kuwa mbaya, aliondoka nyumbani. Aliweka mizigo yake storage...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  19. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
Back
Top Bottom