Epl zimebaki siku 38 transfer deadline de jong atahamia wapi? Ni kitendawili

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,126
Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona.

Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na tabia. Namzunguzia Paul Pogba aina ya wachezaji kama Pogba wenye tabia za uchochezi timu inayofiki lazima ijenge mashaka. Anauwezo wa kuhamasisha migomo. Wengi wanadhani juve wanamuhitaji lkn wanaweza wakampa na sharti la kuangalia tabia.

Moja Kwa Moja nende kwa de Jong, Barca wanauuza Kwa lengo la kupata Fedha wabalance skwadi lao.. naye awadai na kwamba hata akibaki hatakubali kukatwa mshahara, kushusha mshahara Wala Chochote..


Shida Moja ya de jong, hayupo kwenye mipango na Kocha. Na sio kweli kwamba ni mzur kuliko. Hahitajiki.

Wanaodai anataka aende timu itakayoshiriki UCL si kweli
 
Back
Top Bottom