sikio

Panic is the twenty-sixth album by the Finnish experimental rock band Circle.
It is one of the most idiosyncratic albums of Circle's long and varied career. It comprises eleven tracks. The first three are synthesizer-based ambient music pieces. These are followed by six short punk songs. Finally, the last two tracks are the almost silent "Tunnel" and the 15-minute drone piece "And Far Away". A sticker on the CD case describes the band as "Finland Speed-Kraut Pioneers" and refers to a list of obscure Finnish bands. Rather than their real names, the band are credited in the sleevenotes under pseudonyms: Jussi Lehtisalo is Junttura; Janne Westerlund is Sikiö; Tomi Leppänen is Mätky; and Mika Rättö is Klinga Präpierde. These alter-egos were used again for the 2011 EP Mylläri, which comprises four short punk songs in the style of the middle section of Panic.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  2. W

    Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Anayejua dawa asili au tiba asili ya tatizo hili natanguliza shukrani zangu.
  3. OCC Doctors

    Vipuli vya Sikio la kati

    Kwenye sikio la kati kuna vipuli vitatu (ossicles) ambavyo hupitisha mitetemo ya hewa kutoka sikio la nje hadi sikio la ndani ili kuchakatwa kama sauti. Kipuli cha kwanza ni 'Malleus' mfupa mdogo wa umbo la nyundo husambaza mitetemo ya sauti hadi kwenye kipuli cha pili kiitwacho 'Incus', ni...
  4. Erythrocyte

    Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

    Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo . Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
  5. OCC Doctors

    Usumbufu wa sikio na shida za usikivu

    Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio. Mbali na masikio, pua, koo ya hewa (nasopharynx), na mashimo ya hewa karibu na pua (paranasal sinuses), meno, ulimi, tonsils...
  6. Q

    Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  7. Logikos

    Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio

    Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...
  8. Mwl.RCT

    SoC03 Kuwa Na Sikio La Kufa: Kuwa Tayari Kusikiliza Maoni Na Malalamiko Ya Wengine

    KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE Mwandishi: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro ya kisiasa, ni muhimu zaidi kuliko...
  9. Mohamed Said

    Buriani Leila Sheikh: Sikio na Mwandani wa Bi. Titi Mohamed

    BURIANI LEILA SHEIKH SIKIO NA MWANDANI WA BI. TITI MOHAMED Wasomaji wangu niruhusuni niweke msg niliyomtumia Leyla Sheikh tarehe 12 December 2022. (Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili ipate kueleweka kwa wasomaji). Wakati huo CCM na serikali yake walikuwa katika pilikapilika ya...
  10. KING MIDAS

    Tyson Ndunguru rafiki yake MC Joel wa (Tyzee SwahiliHood) aliyedaiwa amepotea apatikana

    Picha: Tyson Nduguru Pichani ni ndugu yetu/rafiki yetu anayefahamika kwa jina la TYSON NDUNGURU maarufu mtandaoni kama Tyzee SwahiliHood. Ndugu yetu tokea alivyotoka nyumbani kwake siku ya ijumaa ya tarehe 26/05/2023 hajarudi wala kuonekana nyumbani kwake hadi dakika hii tunapoandika tangazo...
  11. sajo

    TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
  12. Umuzukuru

    Sikiliza kisha nipe ushauri nini cha kufanya ili kuweza kuboresha kazi zangu

    Habari za siku wana JamiiForums, Nipende kuwajulia hali na kwa wale wenye changamoto za kiafya poleni sana na bila shaka mtapoa na kupona pia Moja kwa moja kwenye lengo kuu. Tafadhali sana Utakapofungua na kusikliza tafadhali usisite kutoa Maoni, Ushauri, Dukuduku. Na bidii nyinginezo...
  13. John Haramba

    Msisafishe masikio kwa kutumia pamba, sikio lina utaratibu wa kujisafisha lenyewe

    Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio. Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya kupata fangasi kwenye masikio, natoa wito kwa Wananchi kuwa wakati wa kuoga wasiingize maji kwenye...
  14. W

    Tuwaridhishe; kumbe miwasho yao inakuwa kama ile ya sikio aisee!!

    Jamani kumbe hamu ya mwanamke inakuwa sawasawa na muwasho wa sikio........ukiwashwa na sikio cotton butt/nyoya la ndege (kwa sisi wengine) lazima vihusike. Kama ni hivyo, ni vipi basi mwanamke aliyeachwa na hamu atajizuia kutafuta jihogo la jang'ombe?!!!!!!! Wanaume tuwaridhishe hawa watu...
  15. luangalila

    TBC 1 ni kweli sikio la kufa halisikii dawa?

    Hii TBC 1 kweli imeamua kupuuzia maoni ya watazamaji wake, yaani TBC1 ikishafika saa 10 usiku hakuna kitu zaidi ya mitaarabu tu; hivi hii tabia itakwisha lini? Hamuwezi kutuwekea hata movie tuburudishe akili? Sasa taarabu saa 10 usiku kiukweli haileti afya. TBC1 enzi za Tido burudani za ku...
  16. B

    Je, Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  17. B

    Je Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  18. MakinikiA

    Zelensky reacts to Musk’s peace proposal

    Zelensky reacts to Musk’s peace proposal The Ukrainian president rallied his followers against “the Elon Musk who supports Russia.” Zelensky reacts to Musk’s peace proposal Vladimir Zelensky leads a meeting of the National Security and Defense Council in Kiev, Ukraine, September 30, 2022 © AP...
  19. Sildenafil Citrate

    Muhimbili kuanzisha maabara ya kwanza nchini ya Upasuaji wa Sikio

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha upasuaji wa sikio kwa wataalamu wa ndani na nje ya nchi. Akisaini mkataba huo, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  20. Sildenafil Citrate

    Sikio la kufa halisikii dawa

    Pamoja na kupanda kwa gharama za maisha, bado tunashuhudia ongezeko kubwa la kodi kila siku. Maneno ya viongozi yamekuwa yaleyale kila siku, hakuna matumani, jahazi linataka kuzama. Sisi wananchi wa kawaida ni kama watu tuliotoswa baharini ingali hatujui kuogelea. Tumepokwa hata maboya tunayo...
Back
Top Bottom