Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.

Tukiondoa mkataba wa Chifu Mangungo

2156524C-CA38-4932-AB85-CE778045BA93.jpeg


Ifuatayo ni baadhi ya mikataba mikubwa ya kuuza Rasilimali zetu iliyowahi kuridhiwa na marais wetu.

Rais Mwinyi - Mkataba wa kuuza Loliondo.
Rais Mkapa - Mkataba wa kubinafsisha NBC, EPA - (Alikuja kujutia baadaye - My Life, My Purpose).
Rais Kikwete - Mkataba wa Richmond na Songas.
Rais Magufuli - Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sikuona akisaini mikataba mikubwa ya kuuza raslimali za nchi zaidi ya ku review mkataba wa GGM na kuukataa mkataba wa kichina kuchukua bandari ya Bagamoyo.

Rais SSH - Mkataba wa kuuza Bandari zetu. Inasikitisha.

Nakumbuka Nyerere aliwahi kuwaambia wazungu wasijaribu ku-temper na madini yetu kama sisi hatuwezi kuyachimba kwa elimu tuliyonayo (wakati ule) watoto wetu watakuja kuyachimba hayaozi. Je, Bandari inaoza?
 
Matokea ya kutaka kuvaa viatu vya JPM, na kutanguliza njaa. Ni aibu Kwa taifa kubwa na huru lisilokuwa na mifumo dhabiti checks and balance
Bunge letu liko corrupt mahakama ziko corrupt unategemea nini. Tungekuwa na wanasheria mahili wa serikali wasio tanguliza njaa huu mkataba hata usingefika bungeni.
 
Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia.
we huna unchoelewa zaidi ya kutumikia pesa za mafala wa sukuma gang
 
Back
Top Bottom