Usumbufu wa sikio na shida za usikivu

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio.

Mbali na masikio, pua, koo ya hewa (nasopharynx), na mashimo ya hewa karibu na pua (paranasal sinuses), meno, ulimi, tonsils, sehemu ya chini ya koromeo (hypopharynx), kisanduku cha sauti (larynx), tezi za mate, pamoja na maungio ya taya (temporomandibular joint) viungo vyote hivyo hupaswa kuchunguzwa kwani usumbufu wa sikio unaweza kutokea huko hadi masikio.

371935585_795398169261027_6653367453328585081_n.jpg
 
Back
Top Bottom