Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi.
Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza.
Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu.
Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana.
Bawacha fikirieni kumpa huyu...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman...
Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati.
Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa.
Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi.
Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia.
Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa...
Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na utaratibu wa kuongoza na kutawala nchi.
Na genge hilo lina msambao kuanzia ngazi za juu kabisa za...
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu...
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.
Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.
Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed...
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru.
Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya"
Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi.
Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
Amani iwe nanyi wadau,
Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe.
Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu kazini wakapige kampeni mfano mkuu mmoja wa shule katika jiji la Tanga (jina lake na shule yake kwapani...
Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika.
Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO / UCHUMI n.k ambapo lazima utengeneze muunganiko imara wa mambo yafuatayo ambayo ndiyo Samia Suluhu...
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama.
Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020.
Seehofer ameelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.