Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka.
Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana.
Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila ikitokea na wao wakapata madaraka ndani ya katiba hii hii, msitegemee tena katiba ya Warioba. Sahauni...
Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya.
Na nikiri kwamba...
Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi, hakuipata.
Kilichotokea ni kuitwa Mizengo Pinda, tena bila ya Mangula kugeuka nyuma akisema kuna mtu...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha.
Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini?
1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!?
2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna...
Tangu ateuliwe Uwaziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, amekuwa very humble. Amesha-adopt utaratibu na upole wa Mhe. Samia Suluhu Hassan. Juzi alionana na Ndugu yangu ndani ya viunga vya bungeni - kwa kweli Dkt. Mwigula ameshabadilika.
Kabadilika faster - tena faster haswa. Kwa...
Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'..
Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ...
Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla..
Kubanwa Uhuru wa kuongea
Kufokewa na kukaripiwa
Kutoa matamko Kwa ukali...
Mzee alituita vijana wake wote pale nyumbani. Akasema anataka tumfuate tuanze safari. Nakumbuka mdogo wangu alimuuliza "mzee mbona hatujajiandaa na pia unataka twende wapi?"
Mzee alimkazia macho na kumwambia "tunaanza safari muda huu ni safari ya miaka 5. Tunakoenda tutakujua huko huko mbele'...
Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya.
Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote.
Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo.
Zilikuwa...
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!
Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo...
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba...
Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni jambo la muhimu sana wanasiasa wetu wawe na uwezo mkubwa sana wa kufikiri.
Uwezo mkubwa wa...
Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini:
"Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola."
Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu...
Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango
Wajumbe wa kamati hiyo wamesema halmashauri ya Mkuranga imejenga matundu ya vyoo kama hayo na kwa ramani hiyo hiyo...
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Baraza Kuu la Chama hicho limetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Uongozi wake kuheshimu Sheria zinazoruhusu kufanyika mikutano ya hadhara na maandamano halali
Chama hicho kimeutaka Uongozi huo kuheshimu Sheria za Nchi ikiwa ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.