Nafasi ya Jeshi la Polisi katika Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi.

Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia.

Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa utaratibu mzuri huweza kugeuka kuwa vurugu na uvunjaji wa amani. Kwa sababu hiyo, Jeshi la Polisi lina jukumu la kutimiza wajibu wake pasipo upendeleo kuhakikisha kuwa shughuli zote za kisiasa zinafanyika kwa uhuru na kwa kudumisha amani na utulivu wa taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom