siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Profesa Ana Tibaijuka amestaafu siasa? Simuoni kwenye Wizara yoyote kubwa, ni mahiri wa Uchumi

    Huyu mama nilimuheshimu na kuanza kumfuatilia rasmi mwaka 2011. Ilikuwa ni kongamano la Kigoda cha Mwalimu pale UDSM kama sijakosea. Siku hiyo alikuwepo pia Prof. Lipumba ambaye watanzania wengi tulikaririshwa zamani kwamba mchumi hodari Tanzania. Bana wee, hiyo siku ndo nilimtambua huyu mama...
  3. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

    Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana. Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha. Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

    China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe Mara...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kisiasa Somalia wafikia makubaliano ya kufanyika Uchaguzi Mkuu

    Baada ya kukwama kwa miezi kadhaa, Viongozi wa Siasa Nchini humo wamefikia makubaliano yanayotengeneza njia ya kufanyika Uchaguzi Mkuu ulio Huru na wa Haki. Waziri wa Mambo ya Nje, Abdirizak Mohamed amesema mojawapo kati ya hoja zilizofikiwa suluhu ni kuundwa kwa Kamati ya Uchaguzi. Kutokuwepo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

    Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao. Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea Inapendeza sana. Kazi Iendelee!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro punguza siasa katika usalama wa wananchi dhidi ya tembo wavamizi

    Wakuu, Kwa sasa hali ya usalama wa wananchi wanaoishi maeneo ya jirani na hifahibza wanyama pori umekuwa wa kusuasua kutokana na uvamizi wa tembo katika makazi na mashamba ya watu, pia hata wengine kuuawa Sasa waziri Ndumbaro amekosa suluhu dhidi ya tembo hao kunusuru usalama wa raia na mali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Tanzania katika kipindi cha Awamu ya Sita

    Tangu Serikali ya awamu ya Sita ianze rasmi kufanya kazi upepo wa siasa umebadilika kabisa na kuwa siasa za kistaarabu na za kushindana hoja kwa hoja. Rais mstaafu Mh. Dkt. Jakaya Kikwete aliyasema hayo katika kumbukizi ya maadhimisho ya siku ya kumkumbuka Mwl. Nyerere kuwa hoja haipigwi rungu...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

    MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama tukianzisha kiwanda kikubwa cha kubadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA. Kwa mujibu wa ripoti ya Benki...
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Suala la vifurushi ni siasa na zinakera kwa wawekezaji

    Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama ndogo ya internet na mawasiliani kwa ujumla Africa Mashariki. Pili huwezi kulazimisha bei kwenye soko...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

    Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM. Kazi Iendelee
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  16. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Social media politics; Heri au shari? Kipi ni kipi, kwa nini, nani afanye nini na ili iwe nini

    Hivi karibuni, mijadala juu ya siasa za mitandaoni zinavyoathiri siasa rasmi nchini na kuathiri maamuzi ya kitaifa imeshika kasi. Limejitokeza kundi linalofurahi kuwa maoni yao wanayoyatoa mitandaoni yanafanyiwa kazi huku kundi lingine likilalamika kuwa si sahihi kwa maoni ya watu wa mitandaoni...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

    Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi. Mienendo na...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Hofu miongoni mwa wana CCM ni udhaifu wa siasa za Hayati Magufuli: Rais Samia anajiamini

    Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak Jukwaa la Siasa!

    Nawatakia Sikukuu ya Eid El Fitr yenye baraka na furaha wanajukwaa wote wa hapa Siasani. Eid Mubarak!
Back
Top Bottom