siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. P

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera aina yako ya siasa haina nafasi kwa sasa, Pole

    Namsikiliza Livingstone Lusinde, kama kawaida yake anafikiri zile siasa zake za kutukana na kupayuka Bungeni bado zina nafasi kwa Tanzania ya leo. Nampa pole, nafahamu siku za nyuma alikuwa akitumwa na Chief Whip kwa agenda zao Bungeni hasa kufunika masuala kadhaa ya ufisadi , kushambulia...
  2. winnerian

    JamiiForums Tanzania Siasa za "wafu" na "vipofu" zikikoma tunaweza kujiuliza maswali kama haya

    "Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano. Bwana Biden alisema Uchina na ulimwengu wote "wanakimbia mbele yetu katika uwekezaji walionao siku za usoni". "Do you...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  4. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Magufuli!

    KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa. Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  6. Mtu Mzima

    JamiiForums Tanzania Yasemwayo na hali hali halisi: uchumi awamu za Utawala Tanzania

    Mengi yanasemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu hali ya uchumi kabla na wakati wa utawala wa awamu ya tano. Hasa kuhusu uvurugaji wa uchumi na mengine kedekede. Kabla sijatoa maoni kuhusu kampeni hasi inayoendelea hivi sasa hebu tupitie kumbukumbu na takwimu tangu uhuru kisha ndio turudi kwenye...
  7. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Freemasons na illuminant

    Hiki ni kitabu chenye siri nzito za Freemasons na Illuminant Ni mpango wa Shetani kuangamiza sheria ya Mungu tangu mwanzo. Shetani amekuwa akifanya vita dhidi ya amri 10 za Mungu ambazo ndicho kipimo pekee cha utii kwa Mungu. Katika vita hiyo, Shetani amekuwa akitumia mawakala wa aina...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

    Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao. 2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao. Tuwe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichojifunza leo katika Siasa za Tanzania ni kwamba...

    Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha. Pia nimegundua ya kwamba Watu wa karibu (Wasaidizi) wa Siasa za Tanzania wakawa na Mawazo mazuri ya Kujenga na Kuisaidia Tanzania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki zinazikwa rasmi wafuatao wajiongeze la sivyo basi la maridhiano litawaacha

    1. Heri James 2. Ole SABAYA 3. Jery Muro 4. Ali Hapi 5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya 6. Cipirian Msiba 7. Makonda 8. Mbunge Msukuma 9Spika NDUGAI Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za chuki kweli
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hongera jukwaa la siasa kuinuka tena. Ama kwa hakika huu ni mwanzo mpya

    Mimi binafsi na watu kama kina Pascal Mayalla ni watu ambao tulijiweka kando kabisa na mada za kisiasa baada ya uchaguzi mkuu 2020. Hata hivyo nilikuwa nikipita ndani ya jukwaa hili kimya kimya na ilibidi tuchangie pale tunapojisikia. Mimi ni moja wa watu humu ambaye huenda ningepotea kabisa...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  14. kiduni

    JamiiForums Tanzania Siasa imetumika kwenye vifurushi

    Nafikiri sote tunakumbuka kilichofanyika baada ya kupanda kwa gharama za mawasiliano, tulilalamika waziri akijitokeza na kutulaghai yuko pamoja na sisi gharama zitashushwa ifikapo mwezi April cha kushangaza vilibaki vilevile na sisi tukaridhika. Mwezi April ndo huu gharama zimeongezwa mara...
  15. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Matukio ambayo sitasahau kwenye siasa 2015

    Mwaka 2015 kulikua na vuguvugu kubwa sana la upinzani,yani kifupi ulikua ukivaa nguzo za CCM unazomewa na kila mtu,kijana yeyote alionekana CCM alijihatarisha maisha yake kama atapita mitaani na sare za chama. Pamoja na hayo kati watangaza nia niliokuwa nawahofia kabisa na alikua tishio ni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wana haki ya kijiunga na vyama vya siasa

    Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama vyao Maazimio ya waandishi wa habari yanazuia kupotoka kwa kuwazuia waandishi wa habari ambao ni...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msomi kwa ngazi ya PhD, tunza heshima yako usikimbilie Siasa

    Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii. Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni kuwa tunayahitaji maendeleo zaidi kuliko siasa

    WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka ndani ya jumuiya ama shirika fulani". Kwa mantinki hiyo unaweza kuona kuwa siasa ipo kwa ajili ya...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Watani zetu wa kisiasa CCM chukua wazo hili kwa moyo mweupe, siasa sio vita

    Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote. Mada husika...
Back
Top Bottom