siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sijashawishika na majibu ya Rais Samia kwamba apewe muda ili aisimamishe uchumi halafu ndiyo aruhusu mikutano ya kisiasa

    Sijashawishika na haya majibu ya Rais Samia! Kwamba apewe muda ili aisimamishe nchi kwanza kiuchumi halafu ndo aruhusu mikutano ya kisiasa. Achieni watu wapige siasa bana. Na nyie mpige kazi. Kukataza watu kufanya siasa popote pale nchini ni fikra za kijima na za kishamba. Watu kupiga siasa...
  2. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Siku100 Ikulu: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo

    #Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo Deogratias Mutungi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa kwake tarehe 19 mwezi wa tatu, kufuatia kifo cha mtangulizi wake JPM, ndani ya siku hizi mia moja...
  3. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa

    Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae. Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa Siasa za Dunia hasa Makamu akionekana na 'Pistol' Kiunoni, ila Mkuu wa nchi hiyo hiyo akiwa 'Huru' kabisa?

    Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa 'Silaha' hiyo hiyo. Karibuni sana hapa Kwetu Herzegovina.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sijapata jibu, kwanini wana siasa wanao ahidi kadamnasi kuiua CHADEMA wao ndio hufa kisiasa?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

    Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB). Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu. Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

    "Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shaka: Upinzani acheni siasa za Analogia

    Na mwandishi wetu Tanga. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa rai kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini kujitathimini ili viweze kufanya Siasa ya kisayansi na kuacha tabia yao ya kufanya siasa za unajimu na ubashiri. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni porojo na siasa za matukio. Fanyeni siasa za kisayansi

  13. P

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Siasa Kivukoni ni muda wa kuzaliwa upya, hawa ma-DC na ma-RC ni matokeo ya kutopigwa msasa kiuongozi

    Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika. Taratibu muda...
  14. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimejiunga Rasmi na Chama cha Siasa nchini

    Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania. Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe mwanachama wa CCM, lakini kwa muda wa miezi isiyopungua mitatu, hakukuwa na kadi mahala nilipo. Sasa...
  16. Mindi

    JamiiForums Tanzania Hivi tuseme ukweli, kati ya CCM na CHADEMA ni nani hasa chama imara cha siasa?

    CCM pamoja na historia ndefu ya kutokea TANU, Pamoja na kwamba ipo madarakani miongo kadhaa, haijui maisha nje ya utawala, bado ni chama dhaifu sana kiasi kwamba hakiwezi kusimama chenyewe bila kubebwa na baiskeli ya wagonjwa ya Polisi, msukumaji usalama wa taifa. Haiwezi kufanya chochote bila...
  17. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  18. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

    Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
  19. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Chato na siasa za Kanda ya Ziwa nyuma ya pazia

    MKOA WA CHATO NA SIASA ZA KANDA YA ZIWA NYUMA YA PAZIA Nimesoma maandiko kadhaa kuhusiana na kuundwa kwa Mkoa wa Chato. Huwezi kuelewa vizuri kinachoendelea sasa bila kujua siasa za Kanda ya Ziwa zilizopo nyuma ya pazia. Labda niwaeleze kidogo mambo ambayo yako nyuma ya Pazia na huwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa Uhuru wa kufanya Siasa umerudi, una hoja yakusimama jukwaani?

    Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena. Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na...
Back
Top Bottom