Nikiwa nafuatilia siasa za Tanzania na hata za east africa, huwa nazingatia zaidi tones, emotions, body language, color ya dress code ya muhusika, colar ya background au mapambo ya jukwaa au ukumbi wa mkutano na mwishowe nakua makini kuwazingatia watu wa karibu walioambatana na mwanasiasa...