Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni pamoja na hii ya kuchagua upande. Ni aidha uwe moto au uwe baridi Full stop. Maswala ya kusema au...
Jf team,
Salaàm!
Binafsi sioni haja ya kuwa na vyama vya siasa lukuki hapa nchini. Na huenda uwepo wa vyama lukuki ni chanzo cha matumizi ya fedha za umma kuwa makubwa kupitia ruzuku.
Nashauri:-
1. Tuone iwapo itapendeza kupunguza vyama hivyo toka idadi ya sasa 26+ na vibakie 3 au 4 tu.
2...
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.
Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake.
Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC
Katika...
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 24/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Itilima
Jumla ya Miradi 5 yenye thamani ya Mil 700...
Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe...
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Songwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda imetembelea na kufanya ukaguzi wa athari zilizosababishwa na mvua na upepo katika Kijiji cha Ilasilo Kata ya Galula.
Katika ukaguzi huo kamati hiyo imebaini nyumba saba zimebomolewa huku 11 zikiwa...
Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
alphonce mawazo
kitu
kujifunza
maajabu
maisha
makamanda
mama yake
marehemu
mashaka
mawazo
mbowe
miezi mitatu
paul makonda
siasa
umasikini
wakuu
wanachadema
wao
ziwa
Kwa wale ambao mmebahatika kupata watoto na mkatumia hospitali za serikali nadhani mnaelewa ninachoongea, kama kuna mtu hakuchangia hata senti basi aje hapa kunipinga.
Hizi kelele za eti huduma za uzazi ni fix tu za wanasiasa huko majukwaani, ila ukifika labor ndiyo utajua hujui.
Kuna mambo...
Kuna wakati ujinga wa wapinzani, hujianika peupe kiasi cha nyeti za kuku mbele za upepo wa kisulisuli. Nijuacho ni hiki!
Anguko lolote la CCM, ni sherehe kwa wapinzani, iweje sasa wachukizwe na namna ya matamko ya Mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda?
Mpinzani unataka Paul Makonda afanye siasa...
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.
Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.
Wameamua kurudisha warusha...
Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa.
Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri.
Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro)
Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa:
Utendaji wa Uchaguzi:
Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki.
Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.