siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. B

    JamiiForums Tanzania Israel ilisharidhia kama HAMAS, haya mengine ni siasa Natenyahu apate pa kufichia uso!

    1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu! 2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa. 3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula...
  3. Thureya khamis

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulianza lini kupenda na kufuatilia Siasa?

    katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume. wapo wanataaluma wa siasa za kitaifa na kimataifa. Lakini pia wapo wasio na taaluma bali vipaji na utashi wao tu...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa. Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji. My Take Naunga mkono hoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  7. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

    Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi. Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

    Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
  12. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chatanda awasili Mwanza kushiriki mazishi ya Jane Msoga

    📅 03 Mei, 2024 📍 Mwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema Ndg. Jane James Msoga. Ndg Jane alifariki tarehe 01 Mei, 2024...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano. Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa na siasa za kubadilika kama kinyonga

    Wakati Mkapa - CCM Wakti wa JK - CHADEMA Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia zuia mikutano ya Siasa mpaka wakati wa Kampeni

    Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya. Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
  17. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania Siasa za Kibaguzi hazitajenga umoja wa Kitaifa

    Na Fredrick Nwaka Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Nape hasimamii lolote zaidi ya tumbo lake, anaweza kufanya lolote akipata wa kumpa cha kutupa tumboni!

    Msikilize baada ya kuona tumbo lake lina njaa, huyu atafanya lolote akipata mtu wa kumpa cha kutupa tumboni!
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
Back
Top Bottom