Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,553
- 2,992
Umasikini ni hali ya ukosefu au kushindwa kupata mahitaji muhimu katika wakati sahihi unapohitaji kununua nguo fulani ukaikosa ndiyo msamiati umasikini unapodhihirika this is just nadharia inatumika kuwadhoofisha watu na kuendelea kuwatawala.
Demokrasia imetengeneza mfumo wa kisiasa ambao unawapa watu ukilema wa fikra ila wachache hua ni wenye kufaidika na mfumo huu duni uliotengezwa kwa lengo la mjanja ni mwenye kufaidika,wanasiasa wanavyopanda jukwaani wanajidhihirisha kuwa serikali ni service provider wa kila jambo kitu ambacho kiuhalisia ni false statment na haita tokea mpaka dunia inaisha ila serikali ni just contributer and regulator wa mazingira lakini tunajisahau wananchi na kudanganywa na siasa uchwara kuwa maisha magumu yanmaletwa na serikali kitu ambacho si kweli na lengo kuwepo kwake ni mtaji wa kifikra ili uweze kukubalika kwa jamiii imagine kauli za upinzani wanavyosema wanafunzi wengi hawaajiriwi hivi ni kweli serikali inaweza kuwaajiri watoto 200,000 each year?ikiwa itaajiri basi effect side itakuwa ni kwenye infrastructure.
Awali serikali ilikuwa na majukumu ya maintance law and order ila kwa kuwa mfumo wa kidunia ulijua dunia itakuwa kwa kasi ukaanzisha fursa ndogo ndogo ili kuifanya dunia iingie kwenye uhitaji magonjwa mangapi yametengezwa?just it politics.
all in all,wanasiasa msiwasumbue na kuwatia ukilema wananchi waambieni walime na kufanya shughuli ndogondogo kujiingizia kipato.