Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Katika nafasi yangu kuna wakati nilitakiwa kutoa taarifa mbalimbali ili kusifia ufanisi wa Serikali. Kuna wakati tulikuwa tunaona kabisa hamna ufanisi lakini tulipaswa kusifu tu.
Kuna siku wakaguzi Wizara ya Fedha walikuja kukagua mradi ambao tulikuwa tunautekeleza kwa fedha zao. Katika mradi...
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege.
Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Wanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada.
Watangazaji...
Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia.
Huyu ndio Mwanasiasa...
Baada ya kupata pilau ya uhakika kwa jirani yangu ambaye ni mfuasi wa ACT wazalendo na kuzungumza mawili matatu nimejiridhisha siasa siyo Uadui.
Ila bado najiuliza kama mikutano ya kisiasa ikiruhusiwa watani zangu wa Ufipa watapata wafuasi kweli?
Kwanza hao watu wataenda kumsikiliza nani...
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.
Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.
Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara...
VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA
Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama.
Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema.
Up dates;
Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
"Ukifanya fujo, umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya sheria sasa kama wewe unakaidi, hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndie jeuri zaidi watakupiga tu na mimi nasema muwapige tu...
Hali ya siasa za Tanzania ni ya kutisha sana, na vyama vyote vya siasa vina hatia, CCM kama chama tawala na vyama vya upinzani. Imefikia mahali ambapo kuna chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana, sio tu kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, bali pia...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
AFRIKA CDC: VIPIMO VYA #CORONAVIRUS VINAVYOTUMIKA TANZANIA VINAFANYA KAZI VIZURI
Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Afrika CDC) amenukuliwa na Reuters akipinga madai ya Rais Magufuli kuwa huenda vipimo vya #CoronaVirus nchini vina shida ya kiufundi
Dkt. John Nkengasong...
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
Sisi wote ni Watanzania na tuna wapedwa na sisi wenyewe ambao tunaogopa huu ugojwa ambao umeingia. Nasikitika sana tofauti zetu kugeuzwa kisiasa. Kwenye hili hakuna jibu zuri na kufurahisha kila mtu ni maamuzi tu ndiyo yanapishana
1. Je tufunge sehemu kwa muda kuzuia mpasuko wa huu ugojwa ambao...
Kwangu hata kama nipo CCM lakini naona bado Mbowe na wale wabunge wenye msimamo wa CHADEMA wana hoja. Tena wana hoja yenye maana kubwa tu - kumbuka hata baadhi ya viongozi wa dini wanawapiga nyundo. Kwa waliosoma Kitabu cha "An Enemy of the People" najua wanajua naeleza nini.
Kwenye conclusion...
Maswali na hoja muhimu katika hotuba ya Rais.
Rais amesema kwamba mara zote amekuwa na wasiwasi kwamba kila wakipima majibu ni postive, postive, postive, postive...
Si jambo baya lakini wakati mwingine mtu hupata majibu kutokana na precedence aliyotengeneza mwenyewe kwa kuwa hicho ndicho...
New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi.
Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria
Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.